Walimu walio omba kusoma Diploma ya elimu ya msingi majibu yanatoka lini?

Walimu walio omba kusoma Diploma ya elimu ya msingi majibu yanatoka lini?

FORCE NAMBA

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
937
Reaction score
327
Wadau hivi walimu walioaplai mafunzo ya diploma ya Elimu ya msingi post zao zinatoka lini?

Pia masomo wataanza lini naona wenye viti bado wako kimya kabisa naomba wenye news wawajuze
 
Back
Top Bottom