Walimu walio pata supplementary kuajiriwa

Jeremiah Stephin

Senior Member
Joined
Feb 6, 2014
Posts
118
Reaction score
124
Kumekuwa na uvumi kwamba mfumo wa zamani umerudishwa..huu ni ule wa kumwajili mwalimu aliye pata sup katika mtihani wake wa mwisho kisha ata sapua akiwa kazini.inahusisha walimu ngazi ya diploma na mfumo uta anza rasmi mwakani...yeyote anae jua atujuze
 
subir kwa wanaojua .cc wenyew hapa songea tc wanafurahi mbaya lakini hawana uhakika na hili suala .
 
VP vyuo vingne ..watu wa sup wameajiliwa
 
Elimu ya Tanzania ilishajifia siku nyingi
 
Watu wenye sup tayar wameajiriwa kibao naona wameanza mwaka huu.
 
vp motco.kreluu.korogwe.monduli.butimba.bunda wenye sup wameajiliw?????
 
sup ya ualim?? akiajiliwa uyo lazma awe kibaraka wa ccm..awafundshe wtt umaskin wa mawazo
 
yaani nimeclear fresh halafu sup anapata ajira,hii kweli nchi ya Giningi.
 
Waliosupp mwaka Jana hajapata post

nasikitika rafiki yangu wamemtema kutoka Mtwara TC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…