The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Habari Wadau,
Kitendo cha Shule za Sekondari na Msingi kufungwa shule kwa ajili ya Corona, kumefanya baadhi ya walimu kuhama maeneo yao ya kazi na kurudi makwao na wengine wako palepale ila wanalewa balaa.
Madeni kibao na matukio mengine ya ajabu. Kuna uwezekano mkubwa baada ya shule kufunguliwa tukapoteza baadhi ya walimu. Wako watakaoacha kurudi shule maana kwa mvua hizi wamejikita kwenye kilimo na kimewalipa, wengine ufugaji lakini wengine wamekuwa walevi na wengine wanadanga!
Ili kuhakikisha walimu wetu wapo au wameshapungua inabidi walau wakutane na mkuu wao wa shule walau mara moja au mbili kwa wiki ili serikali ijiandae mapema. Pia kuna uwezekano wa serikali kuwa inalipa walimu ambao walishaachana na hiyo kazi. Ni hayo tu
You are very unrespectful to teachers...!!
Wakati mwingine kumbe mtu akikaa tu nyumbani anakuwa anawaza ujinga tu kama wewe....
Yaani unaamua kuwatukana na kuwa-insult walimu wetu unreasonably kabisa...
Kwani wanywa pombe (walevi) na wenye madeni ni walimu tu? Polisi, bankers, manesi, madaktari, wafanyibiashara, wamachinga nao unasemaje bwana?
Pls, try at least once to be respectful to teachers...!!