Walimu Waliokosa Ajira Awamu Ya Pili

Hassanitoz

Member
Joined
May 18, 2015
Posts
9
Reaction score
1
Walimu Waliokosa Ajira Awamu Ya Pili Walifurika Leo Makao Makuu Tamisemi Dodoma Na Katika Tawi La Tamisemi Daresalaam Wakilalamika Kuachwa Kwa Mara Ya Pili Tena.. Unadhani Nini Tatizo?

Au Kutakuwa Na Awamu Ya Tatu?
 
yaan watu sijui wakoje?kwani walifkiri wataajiriwa wote?wengine watafute private wasiilaumu serikali bure
 
Habari Zilizonifikia Kutoka Makao Makuu Dodoma Ni Kwamba Walimu Walioenda Kulalamika Wameambiwa Kutakuwa Na Awamu Ya Tatu.. Ndan Ya Wiki Hii
 
Usiseme Hvyo Kwa Sbb Ww Umepata Kama Ingelikuwa Ni Wewe Alafu M2 Ametoa Kauli Hyo Ungefanyaje?

achana nae,hafikiri wenzake,ni mbinafsi,huyo hafai kuwa kiongozi,ndio wale wanaosema mil 10 ni pesa ya mboga,kumbe wengine hata mlo mmoja ni shida.
 
achana nae,hafikiri wenzake,ni mbinafsi,huyo hafai kuwa kiongozi,ndio wale wanaosema mil 10 ni pesa ya mboga,kumbe wengine hata mlo mmoja ni shida.

so kumbe ulikua unasoma lazima uajiriwe na serikali,mm hata kusoma sijamaliza ila siwez kutegemewa kuajiriwa na serikali,nikipata sawa nikikosa naangalia upande mwengine
 
Waalimu waajiriwe wote au mnataka kukosa kura
 
Polen sana, mwaka jana walitoa mpka awamu ya tatu so msikate tamaa tuko pamoja.
 
Kwa wale ambao wameomba kubadilishiwa vituo majina yatatoka leo usiku au kesho asubuhi
 
Hatimaye Majina Ya Ajira Za Ualimu Ngazi Ya Cheti,shahada Na Stashahada Yametolewa Jana Kwa Awamu Ya 3 Katika Tuvuti Ya Tamisemi..
 
Je Kuna majina mengine yatatoka kwa waliomba kubadirishiwa vituo?
 
Kaka waziril plz kama una jibu about that coz jina langu sijaliona na barua yangu wameopokea saa tisa na nusu tar 27 mei
 
TUMTANGULIze mungu hakuna litakaloshindikana!!ila kama ukiona jina halipo mpaka jpili uende karpoti kituo cha awali maana hawachelewi kufuta tena
 
Yaaani mi naic kk nsmkoc maana watu wanabadirishiwa mm jina langu halipo.... Sa cjui umasikini maana nasikia watu wanaonga
 
Sio mkos! Hebu sema ww mara ya kwanza ulipangwa wap?? Kama ulipangwa somewhere naomba uende ukarpoti!! Ila kama ndo unataka kupangiwa kituo cha kaz!! Maana mi sijakusoma vizuri
 
Hv inawezekana kuripot alafu usifanye kazi..... Hii nchi haijui mtu mzalendo... Mi najua mtu anaomba kubadirishiwa ili afanye kaz kwa ufanisi sasa hawataki kukusikiliza sasa sijajua wanataka tuigize
 
Mi nafikiri mtu asiyetAka kaz awez kuomba kubadirishiwa mara nyingi.... Kuna walimu wanaripot alafu wanafanya kaz wk moja ktk kila miez mitatu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…