Walimu Waliokosa Ajira Awamu Ya Pili

Mi kifupi naona sijapangwa bado..... Maana wao wanapanga bila kujua hyu tunaempeleka yupo hai, mgonjwa mlemvu au anatatizo gani..... Na ikitokea anakuja kuomba kubadirishiwa anaulizwa una tatzo gani..... Lazima mwl anayejitambua anataka afanye kaz ili elimu iwe juu na sio kufuata mshahara kwani kama ni mshahara private schools nao wanaitaji walimu.... Mi Cjajua wanasema mfano dar hakuna kibar cha Ajira lakini watu wanapangwa... Nataka kufanya kazi serikalini sema nina matatizo hvyo siwez kwenda mbali sana that's y nafuatilia sana na nakosa ndo maana nasema ninamkosi
 
komaeni kwani tuliozipata nao ATM kweupe hakuna kitu stil tunapiga mzigo kuwatumikia watoto wa watanzania wenzetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…