Mi kifupi naona sijapangwa bado..... Maana wao wanapanga bila kujua hyu tunaempeleka yupo hai, mgonjwa mlemvu au anatatizo gani..... Na ikitokea anakuja kuomba kubadirishiwa anaulizwa una tatzo gani..... Lazima mwl anayejitambua anataka afanye kaz ili elimu iwe juu na sio kufuata mshahara kwani kama ni mshahara private schools nao wanaitaji walimu.... Mi Cjajua wanasema mfano dar hakuna kibar cha Ajira lakini watu wanapangwa... Nataka kufanya kazi serikalini sema nina matatizo hvyo siwez kwenda mbali sana that's y nafuatilia sana na nakosa ndo maana nasema ninamkosi