Ukwelinauhakika
Senior Member
- Aug 15, 2012
- 156
- 40
Tanzania hii hii?
labda Beijing....
yataka moyo
Watu wanadai mishahara miaka na miaka
Faili linajaa barua hadi halifungi
Watu wanadai mishahara miaka na miaka
Faili linajaa barua hadi halifungi
Ha ha ha afu walimu wapya wanaulizia salary ya April leo walipwefaili linashikwa shikwa mpaka linachakaa bila kufanyiwa kazi
Jaman naomba kuuliza kwa wenye taarifa....kuwa kuna uwezekano wa kulipwa pamoja Mwezi huu na mshahara wa mwezi April? Mwenye taarifa atujulishe jaman. Wale walimu wapya tafadhari
Ha ha ha afu walimu wapya wanaulizia salary ya April leo walipwe
hiyo wafanye kusahau tu....