Walimu waliokosa Salary ya April...

Walimu waliokosa Salary ya April...

Ukwelinauhakika

Senior Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
156
Reaction score
40
Jaman naomba kuuliza kwa wenye taarifa....kuwa kuna uwezekano wa kulipwa pamoja Mwezi huu na mshahara wa mwezi April? Mwenye taarifa atujulishe jaman. Wale walimu wapya tafadhari
 
Du mpaka sasa ni siasa baada ya tarehe 31 tutapata ukwelinauhakika
 
Jaman Asa mbona....wanatunyanyasa. Si waziri alisema tutalipwa? Mwenye info please Asa Wewe mtoto wa mkubwa
 
nilifwatilia hili swala kwa mkurugenz wngu wa wilaya, majbu niliyopata ni kwamba haiwezekan mishahara ya mwezi april na may ukaingia pamoja. Ktakachofanyika ni kwamba mishahara ya mwezi may ukitoka unatakiwa uandike barua ya madai ya mshahara wako wa mwez april ukiambatanisha cheque number yako. Baada ya hapo ni kusubir kudra tu za Mungu lin tutafikiriwa kulipwa deni letu
 
Imeshafika bilioni 61 sasa. Walimu bila kushikamana na kuwa kitu kimoja ili kuitolea uvivu hii Serikali dhalimu, basi itakula kwao.

Watu wanadai mishahara miaka na miaka
Faili linajaa barua hadi halifungi
 
Hayo yataitwa madai na kulipwa ni majaliwa. Hakuna mfumo kama huo..... mlivokuwa mnasikia madai ya walimu/ wafanyakazi mlidhani maigizo? Andika barua kwa Mkurunzi kwa ajili ya madai.
 
Jamani hayo madai msitegemee kuyapata leo wala kesho.Hii serikali ina dharau ambayo imepitiliza.Tunahitaji migomo na maandamano yasiyokoma.Huu Usenge mpaka lini.Mimi mwenyewe nina madai yangu ya mishahara miwili tangu mwaka juzi hadi leo hakieleweki.
 
Jaman naomba kuuliza kwa wenye taarifa....kuwa kuna uwezekano wa kulipwa pamoja Mwezi huu na mshahara wa mwezi April? Mwenye taarifa atujulishe jaman. Wale walimu wapya tafadhari

Hayo ndio madai ya walimu
 
Back
Top Bottom