Baba Emmanuel
Member
- Jul 18, 2012
- 10
- 1
Mwakani Wanafunzi wakifeli, wanaanza kuunda tume ili kuchunguza kwanini wanafunzi wanafeli, wakati walimu wanapewa mazingira magumu ya kazi kiasi hiki. Ajira zimetoka wapo waliomba kubadilishiwa vituo kwa sababu za msingi kabisa na wamekubaliwa. Tatizo ni nini wasilipwe pesa za kujikimu? Kila mwaka wapo wanaoomba kubadilishiwa vituo mara tu baada ya ajira. Lakini mipango na utendaji wa aina hii kwangu mimi nadhani ni aina fulani ya wizi kama sio ufisadi. pesa hii itapelekwa wapi?