Hivi watu wengine sijui huwa wanatoaga wapi taarifa zao yaani limtu linakurupuka tu eti linaaaanza kupost vitu ambavyo hata ukifikiria kidogo tu haviwezekani.
Sasa kuandika barua ya nini wakati data zote ziko wizarani,Tamisemi na kwa taarifa yako up to now majina yashapelekwa hazina tayari kwa kuanza kupanga kugawa pesa ya kujikimu