Faru dume
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 471
- 116
Poleni wadau,nimepata kusikia kwa watu kuhusu kuandika barua ya kuomba ajira kwa wale walio sapua May 2014 ....hivi hii taarifa inaukweli wowote?kama kweli hyo barua tunaituma wapi?
Kama unazo hizi taarifa tushee ideas hapa....
NB:Nimesikia mwisho kesho.
Kama unazo hizi taarifa tushee ideas hapa....
NB:Nimesikia mwisho kesho.