kimbendengu JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 6,716 Reaction score 12,116 Mar 3, 2018 #1 Kuna taarifa zimezagaa mitaani kuwa wapo walimu wa shule za msingi ambao walishindwa kujiendeleza na sasa serikali imeamua kuwatimua bila huruma.
Kuna taarifa zimezagaa mitaani kuwa wapo walimu wa shule za msingi ambao walishindwa kujiendeleza na sasa serikali imeamua kuwatimua bila huruma.
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,197 Reaction score 128,160 Mar 3, 2018 #2 na waliojindeleza na kwenda kufundisha shule za sekondari wameburuzwa na kurudishwa shule ya msingi.
Pain killer JF-Expert Member Joined Aug 15, 2017 Posts 14,361 Reaction score 21,680 Mar 3, 2018 #3 kimbendengu said: Kuna taarifa zimezagaa mitaani kuwa wapo walimu wa shule za msingi ambao walishindwa kujiendeleza na sasa serikali imeamua kuwatimua bila huruma. Click to expand... Acha kuropoka letaa ushahid humuu....
kimbendengu said: Kuna taarifa zimezagaa mitaani kuwa wapo walimu wa shule za msingi ambao walishindwa kujiendeleza na sasa serikali imeamua kuwatimua bila huruma. Click to expand... Acha kuropoka letaa ushahid humuu....
K Kimbori JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 6,112 Reaction score 4,540 Mar 3, 2018 #4 Story za vijiweni
Ze Heby JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 5,636 Reaction score 6,178 Mar 5, 2018 #5 Nani alikutuma usijiendeleze mkuu?Ona sasa unaishi kwa tabu kama digidigi unajistukia .Ukitimuliwa hasara sio kwa JF ni kwako mwenyewe
Nani alikutuma usijiendeleze mkuu?Ona sasa unaishi kwa tabu kama digidigi unajistukia .Ukitimuliwa hasara sio kwa JF ni kwako mwenyewe