Tetesi: Walimu walioshindwa kujiendeleza kufutwa kazi

Tetesi: Walimu walioshindwa kujiendeleza kufutwa kazi

kimbendengu

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
6,716
Reaction score
12,116
Kuna taarifa zimezagaa mitaani kuwa wapo walimu wa shule za msingi ambao walishindwa kujiendeleza na sasa serikali imeamua kuwatimua bila huruma.
 
na waliojindeleza na kwenda kufundisha shule za sekondari wameburuzwa na kurudishwa shule ya msingi.
 
Nani alikutuma usijiendeleze mkuu?Ona sasa unaishi kwa tabu kama digidigi unajistukia .Ukitimuliwa hasara sio kwa JF ni kwako mwenyewe
 
Back
Top Bottom