Walimu wamelipokea tamko la SERIKALI kuhusu utoro kazini, LAKINI wanataka Katiba mpya Ili apatikane kiongozi atakayetatua Matatizo yao sugu

Ufaulu wa kila MWAKA ambao Serikali inatangaza nani anawajibika kupata matokeo hayo!!?

Ni uvccm sio!!?
 
Kwa hiyo Katiba mpya ndo itaruhusu utoro wa Walimu? Mbona sioni connection kati ya Katiba mpya na huo utoro wa Walimu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…