Walimu wamepoteza heshima yao kwa jamii. Wamekalia madai tu.

nyie mbona madokta hamtutibii sisi maskini kwa hayari yenu hadi tutoe rushwa
 
Tatizo mleta mada hana utafiti wowote juu ya hoja yake .hivyo tusimhukumu ila tumwaache ajihukumu mwenyewe.
 
bora anaekataa kwenda huko kutokana na environment kutomshawish kama vile
mishahara duni
mazingira mabovu yakazi
n.k kuliko anayekwenda nakuishia kuhangaika tafuta kibati kwa njia nyngne nakutofundsha bali kula mshahala tu
usilaumu tu kama huelewi wakati unaelewa ila unajilazimisha kutokuelewa
 
Hajui anachokizungumzia,kichwa cha habri kinajichanganya na yaliyoandikwa ndani.
Mimi ni mwalimu,tusiwazuie watu kujua haki zao,walimu wa sasa tunajitambua na tunajua nini tanatakiwa tufanye.Bila kuiambia serikali nini kipo vijini hawatabadilika.
 
Jamaa kaongea
ww kama unatoka shinyanga umesoma dar usilazimishe kubaki dar tu. nenda kafundishe ulikopangiwa, huko ndiko kuna tatizo kubwa. Inakuwaje tena kuleta siasa ndani ya suala la msingi?

OKOA TAIFA LAKO
KATAA MUUNGANO
 

Huyu jamaa kama sio Nape basi atakuwa Mwigulu nchemba..?
 
mm nadhani suala la kwenda kuripoti kwenye kituo cha kazi ni maamuzi ya mtu sababu wenye kuhitaji ajira wamesharipoti vituoni kwa ajili ya kuanza kazi so hakuna umuhimu wa kumlaumu mtu sababu ualimu ni ajira kama zilivyokuwa ajira nyingine
 
Wafanyakzi Tanzania siyo waalimu tu! Wapo wafanyakazi aina mbalimbali wenye taaluma za kutosha na wanaishi mazingira magumu na kulipwa mishahara kiduchu kuliko waalimu. wapo mabwana shamba, mifugo, wahasibu, manes, wahandisi, maafisa ustawi wa jamii, wanasheria, mahakimu na wengineo. nao pia wanahitaji mazingira mazuri ya kazi na mishahara mizuri na posho za kujikimu. Kila mtu anaposomea kazi ajue atapambana na vikwazo gani na siyo kila siku kulalamika. mbona wakale wetu waalimu waliotufundisha walifanya kazi kwa uadilifu na kuipenda hadi wakazalisha waasisi wa taifa hili bila malalamiko? Chapeni kazi Waalimu huku mkifuatilia madai yenu ya msingi.
 
Nikikuita mjinga ntakuwa nimekuonea ww ni mpumbavu kwa sababu hujui kuwa hao unaowaita wazazi ndio waliowazaa hao walimu? sasa unamfananisha mwl Nyerere bila kuchunguza nyakati. Kwanza ww ni nani ktk nchi hii hadi ujifanye mzarendo kwenye nchi iliyojaa wezi. Tumia kichwa kufikiri na si kiungo kingine tena umenichefua kama ungekuwa jirani na mkofi ungeyapata. kama ww unahuruma nenda kafundishe
 
mwenye huruma na hao watoto akafundshe yeye,uzalendo huku unaumia ni umaku..
 
Utakua kula kulala ww unadhan kuitwa mwalm na bado serikal ikakuamin n mchezo eeh? Au unafkr hii n kaz ya kanisa/mckiti ulpwe uclipwe yote xawa? Mwendo n uleule napga mishe nyngne nfidie mapengo lyf gum mshahara mdogo, km vp mwanao mfundishe mwenyew, hutak subir 0 tuone nan zaid.
 

Mkuu, umelifafanua vizuri suala hili. Walimu wachape kaze. Wakumbuke: NO ONE FORGETS A GOOD TEACHER. Tunawapenda sana.
 
Maisha yamebadilika sana wakuu walimu wa 1960-1994 si hawa wa leo. Kila mtu ajiulize amesaidiaje kuinua elimu ya Tanzania si kuwalaumu walimu tu. Walimu peke yao hawainui elimu wa kwanza kuinua elimu ni Seeikari wa Pili mzazi wa tatu manafunzi na maisho mwalimu kama serikari haikurudisha hali ya walimu kufundisha walimu waone ualimu ni kazi ya wito na ualimu ni kazi ya kujitolea zaidi hata mpeleke magraduate elimu itadorola tu,spirit ya kugundisha kwa walimu imeshushwa na serikari ambayo haioni umuhimu wa hawa walimu sababu kubwa ni kwamba viongozi wetu hawapeleki watoto wao huko. Wazazi nao wanawalaumu walimu hivi wanaofeli si watoto wenu mmechukua hatua gani kama watanzania watu wa kwanza kuwawajibisha viongozi na serikari ni nyinyi wananchi serikari mmeiwwka madarakani hamuwezi kuiwajibisha mbona usipompeleka mwanao shule unashtakiwa sasa unashtakiwa kwanini umpeleke mtoto wako ambako unjua atafeli kwakuwa anaekulazimisha umpeleke hajatimiza wajibu wake,je wazazi wangapi wanafuatilia maendeleo ya watoto wao au ndo mnagombana n walimu wakiawachapa wanenu. Hivi kuna asiyejua kuwawalimu wameweka majembe chini tena kwa kauli za viongozi mliowapa kura za ndio za kishindo malalamiko yao hamyajui si ninyi wazazi mnawabeza na kuwatukana sasa mnataa walimu wafundishe kwa moyo,moyo huo unauzwa dukani?kalne hii ya sayansi kila kitu kinajulikaa walimu a zamani walikua hawajui kinaxhoendeea upandewa pili wa sarafu. Leo kila mtu anajua mbunge analipwa bei gani polisi, tra,hakimu sasa kwani hawa walimu wanaishi kwwnye vacuumu na maisha yaleyale maduka yaleyale bei ya vitu ileils kwa yeyote hakuna lebo hapo walimu tu hapa madiwani tu au hapa mbuluza mkokoteni. NANYI walimu mnaiwafelisha ni ndugu zenu kaka zenu binamu na shangazi zenu. Mnajitengenezea mabomu wwnyewe wanchofanya ni kuwapa elimu mbovu ili waendele kuwatawala kwakuwa watakaokuwa wamesoma ni watoto wao na nduvgu zao kazeni musuli fundisheni ndugu ili wakapambane na watoto wa vigogo mafisadi. Waonyesheni kuwa wanachokifanya mnakijua wanataka kuwatawala kupitia ujingawetu msishangae ya Kenya raisi mtoto wa raisi. Hata mpeleke maphd kufundisha msipoaayhamini walimu tka wazazi hasi serikari elimu haipandi hata si umeona hata hapa jf dhalau kwa walimu ipo. Aalimu wa upe walikua waafundisha kwa moyo kwakuwa walisaminiwa na kuhwshimiwa sasa magraduate hamiwathamini na wanajua hivyo mtakiona cha moto wanaumia na sisi wananchi si watembea na vx
 
huwez kufanya kaz hata ww katk mazingira magumu, ambayo usafir wake tu ni shida sana, then unalipwa mshahara mdogo na hapo hapo serikal yako haikuthamin, hebu niambie ingekuwa ww ndo mwl ss ungefanyajeeeeee?
 
Unaewalaumu walimu hujui ulitendalo

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…