Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli we ni mburula
umeambiwa walimu wanadai fedha za kujikimu? acha kukurupuka kama una
hurume mpeleke mkeo na ndugu zako wakafundishe me naona umetumwa au kuna
ndugu yako ni gamba kakupa huo ujumbe uandike humu jf? unawakera watu
wenye taaluma zao baba yako angefanya kazi kwa mkopo ungesoma wewe? acha
use.....................................
Huyu jamaa kama sio Nape basi atakuwa Mwigulu nchemba..?
Wafanyakzi Tanzania siyo waalimu tu! Wapo wafanyakazi aina mbalimbali wenye taaluma za kutosha na wanaishi mazingira magumu na kulipwa mishahara kiduchu kuliko waalimu. wapo mabwana shamba, mifugo, wahasibu, manes, wahandisi, maafisa ustawi wa jamii, wanasheria, mahakimu na wengineo. nao pia wanahitaji mazingira mazuri ya kazi na mishahara mizuri na posho za kujikimu. Kila mtu anaposomea kazi ajue atapambana na vikwazo gani na siyo kila siku kulalamika. mbona wakale wetu waalimu waliotufundisha walifanya kazi kwa uadilifu na kuipenda hadi wakazalisha waasisi wa taifa hili bila malalamiko? Chapeni kazi Waalimu huku mkifuatilia madai yenu ya msingi.
Maisha yamebadilika sana wakuu walimu wa 1960-1994 si hawa wa leo. Kila mtu ajiulize amesaidiaje kuinua elimu ya Tanzania si kuwalaumu walimu tu. Walimu peke yao hawainui elimu wa kwanza kuinua elimu ni Seeikari wa Pili mzazi wa tatu manafunzi na maisho mwalimu kama serikari haikurudisha hali ya walimu kufundisha walimu waone ualimu ni kazi ya wito na ualimu ni kazi ya kujitolea zaidi hata mpeleke magraduate elimu itadorola tu,spirit ya kugundisha kwa walimu imeshushwa na serikari ambayo haioni umuhimu wa hawa walimu sababu kubwa ni kwamba viongozi wetu hawapeleki watoto wao huko. Wazazi nao wanawalaumu walimu hivi wanaofeli si watoto wenu mmechukua hatua gani kama watanzania watu wa kwanza kuwawajibisha viongozi na serikari ni nyinyi wananchi serikari mmeiwwka madarakani hamuwezi kuiwajibisha mbona usipompeleka mwanao shule unashtakiwa sasa unashtakiwa kwanini umpeleke mtoto wako ambako unjua atafeli kwakuwa anaekulazimisha umpeleke hajatimiza wajibu wake,je wazazi wangapi wanafuatilia maendeleo ya watoto wao au ndo mnagombana n walimu wakiawachapa wanenu. Hivi kuna asiyejua kuwawalimu wameweka majembe chini tena kwa kauli za viongozi mliowapa kura za ndio za kishindo malalamiko yao hamyajui si ninyi wazazi mnawabeza na kuwatukana sasa mnataa walimu wafundishe kwa moyo,moyo huo unauzwa dukani?kalne hii ya sayansi kila kitu kinajulikaa walimu a zamani walikua hawajui kinaxhoendeea upandewa pili wa sarafu. Leo kila mtu anajua mbunge analipwa bei gani polisi, tra,hakimu sasa kwani hawa walimu wanaishi kwwnye vacuumu na maisha yaleyale maduka yaleyale bei ya vitu ileils kwa yeyote hakuna lebo hapo walimu tu hapa madiwani tu au hapa mbuluza mkokoteni. NANYI walimu mnaiwafelisha ni ndugu zenu kaka zenu binamu na shangazi zenu. Mnajitengenezea mabomu wwnyewe wanchofanya ni kuwapa elimu mbovu ili waendele kuwatawala kwakuwa watakaokuwa wamesoma ni watoto wao na nduvgu zao kazeni musuli fundisheni ndugu
Mkuu,
UNA AKILI NYINGI. Siongezi neno.