lutayega
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 1,297
- 567
Kituo cha walimu Buhigwe kimefungua wavuti(blogspot) ambayo lengo lake ni kuwakutanisha walimu na wanafunzi wote mkoani kigoma. Wavuti hiyo ambayo ni www.buhigwetrc.blogspot.com itatoanafasi kwa wadau mbalimbali wa elimu kushiriki katika mijadala ya kielimu, pia kutakuwepo uchambuzi wa mada mbalimbali zinazofundishwa shule za msingi na sekondari. Pia ndani ya huo mtandao zitawekwa notice za mada mbalimbali katika ngazi mbalimbali za kimasomo kama vile shule za msingi na sekondari,diploma na shahada.
Kwa maelezo zaidi tembelea www.buhigwetrc.blogspot.com wadau wote mnakaribishwa ili kuinua ubora wa elimu yetu.
Kwa maelezo zaidi tembelea www.buhigwetrc.blogspot.com wadau wote mnakaribishwa ili kuinua ubora wa elimu yetu.