Walimu wa masomo yafuatayo wanaitajika kwa haraka sana. Civics , History , Geography,Kiswahili, Mathematics, Physics na Chemistry .Kituo cha kazi kipo manispaa ya Bukoba mkoani Kagera . Shule inatoa huduma ya chakula,usafiri na makazi kwa walimu wanaoishi nje ya shule. Kwa mawasiliano piga 0757297942 au 0787974003 karibu sana