Walimu wanahitajika kwa haraka sana

Walimu wanahitajika kwa haraka sana

Alexism

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
3,423
Reaction score
2,046
Walimu wa masomo yafuatayo wanaitajika kwa haraka sana. Civics , History , Geography,Kiswahili, Mathematics, Physics na Chemistry .Kituo cha kazi kipo manispaa ya Bukoba mkoani Kagera . Shule inatoa huduma ya chakula,usafiri na makazi kwa walimu wanaoishi nje ya shule. Kwa mawasiliano piga 0757297942 au 0787974003 karibu sana
 
Mkuu ni wewe kama huko tayari karibu sana KEMEBOS
 
mi nipo tayari ila nimesoma sociology naweza kufundisha history na english language.
 
sasa tangazo lenyewe ni kama yale ya: MGANGA WA NGUVU ZA KIUME PIGA 07........
 
Back
Top Bottom