Walimu wanamsingizia kiuonevu mwanangu, je ni hatua gani nichukue kama mzazi?

Kuna ukweli hapo
 
Yani ndicho nachoona hapa, na ni kweli karibu wote ni wavulana mkuu, hapo umepatia kabisa..... itakuwa kama ulivyosema wengi wanapenda pia kucheza wakitoka nje, kuhusu kubanwa majumbani hili swala nalo umepatia ni kweli kabisa wengi wao huwa wanabanwa wasitoke majumbani (geti kali)
 
Mwanao amewashawishi hasingiziwi ila sio jambo baya atakua charismatic leader usimfanye aone alichokifanya ni kibaya ndio wakina Tindu LUSSI hao
 
Imaonekana huyo mwanao ni stubborn Kama wewe baba yake. Sasa umeitwa shule hujafika ukayasikia haswa uliyoitiwa unakuja hapa kutafuta defence mechanisms?!
 
Huyo dogo hajawashawishi wenzake ilaa wenzake wanataka nao wawe wanaenjoy kucheza maana kila siku wanaadithiwa Utamuu yaniii... shule ilazimisheeee schoolbus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…