Remote. Pole sana mkuu,kama sikosei wewe ni mmoja wa watetezi wazuri wa serikali hii.Naamini kuna maeneo mwalimu anapoteza siku moja au mbili kufuatilia mshahara kutokana na kukosekana kwa bank na barabara zinazopitika kirahisi. Kuna jamaa amepelekwa Mwakaleli secondary huko Rungwe-Mbeya amelalamikia hilo.Vipi kijijini kwako miundombinu ya kifedha na usafiri imekaaje?
Kwetu Tanzania
QUOTE]Ualimu ni wito[QUOTE
kama ushajitosa.
Vijana walio kweye ngazi za chini za elimu washauriwe wasome kwa bidii wasifeli kwa sababu kwetu Tanzania pia
QUOTE]Kimbilio la waliofeli ni ualimu na upolisi[QUOTE
father. Mkuu lakini tujiulize hii dhana ya kusema kimbilio la waliofeli ni Ualimu inajenga au inabomoa msingi wa maendeleo ya elimu Tanzania? Je,kuna haja ya kuangalia upya viwango vya ufaulu katika vyuo vya walimu Tanzania?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.