Walimu waongoza kwa kuolewa ukilinganisha na sekta nyingine

Wanawake wote wako sawasawa irrespective of;

Prefession, level ya elimu etc..

Matatizo yao yote ni yafuatayo:

Utarudi saa ngapi?, ulikuwa wapi?, mbona unatumia sana? etc..

Wanawake wote hawako sawa. mi naunga mkono hoja kwamba walimu wanasoko kwy ndoa. kwanza wana maadili, wavumilivu, in short wanajua wajibu wa kuwa mke ni nini. wf wangu ni mwl n she is the best.
 
Mie ninaye mchumba mwalimu, ila wa kwangu kichechez nafikiria kumpiga chini by end of the year

huyo atakua wa Duce mkuu au universities za hapo town, why asiwe kicheche na anataka nyt kula bata maisha,bills,masaai,Calabash, etc.
Achana na wa degree shuka wa diploma au grade A tembelea TTC's huko ukachukue mtoto mzuri, tembelea moro,ilonga,kingurunyembe,korogwe,mandaka,butimba,mpwapwa,monduli etc huko ndo utapata mtoto wa ukweli. Mtoto psychology ndo mwake kashameza matheory kama ya B. F Skiner, Sigmund Freud, A. Maslow, etc why ashindwe kulea wanao vizuri? Why ashindwe kuwa mke mwema?
Acheni walimu waolewe mana ile kuwa mwl tu ni point moja tayari kama mwanaume atakua anataka mama wa kweli wa kulea wanae.
 
Bujibuji ilikuwaje ukaanza kuwachunguza vidole mie na wasiwasi na wewe
 

safi sana! Hapo umenena, pata bia moja bac
 

duh, mkuu upo deep
 
jamani huo ni kweli hasa sisi wengine tulioko bank ndo kabisa wakati mwingine huwa najiuliza nitakapokuwa nafamilia itakuwaje mana wakati mwingine kazini hadi sunday hakuna hata muda wa kumtake care mume na watoto huwa inaniumiza sn,
 
Huvu humu kuna walimu kweli?[/QUOT

Nenda facebook wamejaa teleee, humu ni kugumu kwao coz wanatakiwa great thinkers. Nawapenda sana na kuwaheshimu sana walimu, bila wao mi nisingefika hapo nilipo.
 
Hujajua kwann bankers wanachelea kuingia ndoani na walimu wanawahi,kwanza kule kipato kidogo kwa hyo jeuri hakuna,pili hata wanaume wanaokutana na kazini ni wa kawaida'mwalimu mkuu tu ndio anaonekana yupo safi'so huwa hakuna muda wa kutumbua maisha'bankers huwa wakiingia kazini hawana uchaguzi'wanakutana na vijana wazuri na maisha ya anasa na utukutu uliopitiliza kwamba ukiolewa mapema utakuwa mfungwa,pili mishahara na mikopo mizuri inawafanya wasiwe na haraka ya kutaka kujipa tabu za kuanza kulea mapema,wakifikaga29 30 ndio kichaa cha kuzaa ndio kinaanza hapo'atahangaikia ndoa atanunua hata kijana walahu na yeye apate pete'nlishafanya kazi uko najua bichwa zao zinavyofikiri!!
 
Sasa usiombe ukaoa mwalimu halafu wanafunzi wake wakamrukia..................................utatamani kujiua!!!!
 
Nawapongeza walimu na kama utafiti ni yakinifu mungu awajalie kila la kheri kwani wengi wao wametaabika sana kimalipo na mazingira ya kazi zao
 
Ana mtindio wa uböngo hajui kuwa inji ilikombolewa na maticha wala c mainjinia, wahasibu wala mait na wanasheria wa kukopy? Aache sarau bana. Ukiwa na mke ambaye ni ticha huwezi kuwa na presha hata mara moja hawa ni best. Ona mama salma yaani mpaka raha. Tuwe wakweli je unaweza oa polis, au mwandish au mwanasheria kwangu ni sawa na kutafuna jiwe!
Na kweli huyu ni PIMBI, mimi mwenyewe ni Teacher mbona nipo humu.
 
hata mi nakubali kabisa, walimu huolewa zaidi ukulinganisha na wana taaluma wengine.
Rafiki zangu wengi waalimu wameolewa, ila wa field nyingine wanambwelambwela kama mimi
 
unaongelea walimu wa level gani?nahisi ni shule ya msingi na secondary ambao kwa shule ya msingi ni form four waliopata div four na secondary ni diploma.kuna ma graduate wanafundisha secondary chezea yeye......utajuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…