Jimmy Romio
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 367
- 278
Wanawake wote wako sawasawa irrespective of;
Prefession, level ya elimu etc..
Matatizo yao yote ni yafuatayo:
Utarudi saa ngapi?, ulikuwa wapi?, mbona unatumia sana? etc..
Wanawake wote hawako sawa. mi naunga mkono hoja kwamba walimu wanasoko kwy ndoa. kwanza wana maadili, wavumilivu, in short wanajua wajibu wa kuwa mke ni nini. wf wangu ni mwl n she is the best.