Walimu waongoza kwa kuolewa ukilinganisha na sekta nyingine

Walimu waongoza kwa kuolewa ukilinganisha na sekta nyingine

Je huoni kama likizo ya wanafunzi automatically ni likizo ya Mwalimu? Yes atakuwa jirani na mazingira ya Shule lakini anakuwa free zaidi kufanya mambo yake. Mfano kuna likizo za wanafunzi zinaenda hadi wiki 6 nazo ni mara mbili kwa mwaka, ongeza midterm 2, sikukuu na wikiend ambazo wengine tunaweza kuwa job.

Ni kweli, hata hizo likizo wanazohitajika kuwepo karibu most of the tym hawana kazi shuleni. Nilitaka kuweka taarifa sawa kwamba 'Mwalimu kama m2mishi mwingine wa serikali ana likizo moja halali kwa mwaka ambayo ni ya 28 days' tofauti na taarifa iliyotolewa kwamba pamoja na likizo mbili kubwa za wanafunzi mwalimu anayo tena ya kwake ya kawaida, thats ol.

niambie fani yako nikuoe mi sichagui fani bali mke mwema! Una miaka mingapi?

Kama sikosei ni 45. Bado binti mbichi kabisa.

Nimekuwa nikitamani sana cku moja nipate mke mwalimu.walimu wana hekima,busara na wajua malezi kwa familia yake.bba yangu mzazi alifariki miaka 14 iliyopita ila mama ambaye ni mwl ameweza kututunza na kutusomesha hadi ngaz ya degree.cpend mtu anayewadharau waalimu pamoja na kipato chao kidogo

Usemacho ni kweli kabisa. Nakubaliana nawe na ninayo mifano mingi sana inayohusu ndugu zangu mbalimbali. Walimu wana principle zinazofanana. Wanajali maisha na wanalea vizuri watoto.

Nami pia naungana na Nduu Mamaya na kwa kuongezea ni kuwa ktk maeneo mengi ya vijijini, Mwl huwa anaheshimika sana kama msomi na mshauri wa kijiji. Mara nyingi huko vijijini walimu huwa smart sana na makazi yao ni bora. Hivyo nahisi pia kuwa kwa muenekano huo, vijana wengi wa maeneo hayo hukimbilia kufunga nao pingu za maisha wakiamini watapata heshima na kusaidiana kimawazo na katika kipato pia.

On the other hand, kwa mjini si walimu wengi wenye ndoa ingawa ukiweka kitakwimu au comparison na fields zingine kama ma-nurse, bankers na lawyers, still frequency yao iko juu.

Thank you Bujibuji kwa post yako

Nimetembelea shule kadhaa kwa ajili ya kuzindua mradi wa chakula shuleni. Nimekuta mabinti wadogo wadogo wakiwa na pete zao za ndoa.
Hiki ni kiashirio tosha kuwa soko la walimu kwenye sekta ya ndoa liko juu ukilinganisha na wafanyakazi wa benki, ambako kwenye wasichana 12 ni mmoja tu ndo mwenye ndoa.
Hongera sana walimu.

hicho si kigezo sahihi cha kupima ulipaswa uwaulize kwani wengi sikuhizi wanavaa pete za ndoa kama fasheni

Mimi mwalimu wa kiingereza shule ya upili.

Uko kwa mwai kibaki NN? umenifurahisha sana na amatumizi a kiswahili hapa

Walimu nadhania kutokana na nature ya kazi yao wamefunzwa kumsoma na kumwelewa mtu; nadhani wanao uwezo mwingi wa kuhandle partners ; lakini haiba yao hii haimaanishi hawachakachuliwi.............mtakuwa mnajidanganya

Nimetembelea shule kadhaa kwa ajili ya kuzindua mradi wa chakula shuleni. Nimekuta mabinti wadogo wadogo wakiwa na pete zao za ndoa.
Hiki ni kiashirio tosha kuwa soko la walimu kwenye sekta ya ndoa liko juu ukilinganisha na wafanyakazi wa benki, ambako kwenye wasichana 12 ni mmoja tu ndo mwenye ndoa.
Hongera sana walimu.
Lazima tuwaoe kwasababu wanamaadili mazuri kutokana na haiba yao ya ualimu, wanajua pi kulea waume na watoto pia, wanajua kuvumilia magumu ktk ndoa kama wanavyo vumilia maisha magumu vijijini pamoja nadegree au diploma zao. ndio maana wako juu katika hilo

Wanawake wote wako sawasawa irrespective of;

Prefession, level ya elimu etc..

Matatizo yao yote ni yafuatayo:

Utarudi saa ngapi?, ulikuwa wapi?, mbona unatumia sana? etc..

Mie ninaye mchumba mwalimu, ila wa kwangu kichechez nafikiria kumpiga chini by end of the year

Nimetembelea shule kadhaa kwa ajili ya kuzindua mradi wa chakula shuleni. Nimekuta mabinti wadogo wadogo wakiwa na pete zao za ndoa.
Hiki ni kiashirio tosha kuwa soko la walimu kwenye sekta ya ndoa liko juu ukilinganisha na wafanyakazi wa benki, ambako kwenye wasichana 12 ni mmoja tu ndo mwenye ndoa.
Hongera sana walimu.

walimu hawana makuu pia ni wasikivu nadhani ile saikolojia wanayosoma na maadili wanafundishwa vyuoni yanawasaidia wasiwe na kiburi ndo maana wanaume wengi tunapenda walimu pia ni bora sana kwa malezi ya familia kuliko aina nyingine

Nawapenda walimu....naamini wao ndi wake bora zaidi kuliko wengine

duh...! hadi hapo nahisi wengine tushakosa, ina maana hata hela zetu hamuzipendi jamaniiii? Lol

ila walimu wa kiume baadhi yao wachafuzi wa wanafunzi wa kike regardless wa sekondari au shule ya msingi

Nimetembelea shule kadhaa kwa ajili ya kuzindua mradi wa chakula shuleni. Nimekuta mabinti wadogo wadogo wakiwa na pete zao za ndoa.
Hiki ni kiashirio tosha kuwa soko la walimu kwenye sekta ya ndoa liko juu ukilinganisha na wafanyakazi wa benki, ambako kwenye wasichana 12 ni mmoja tu ndo mwenye ndoa.
Hongera sana walimu.

..Bujibuji umenifurahisha, it seems pamoja na kazi iliyokupeleka mashuleni (kuzindua mradi wa chakula shuleni) ukajikuta unafanya ka-research kengine ambako findings zake ziko very interestingi!! Congrats mtafiti....i second your observation!

Back
Top Bottom