Hao ndio walimu wa siku hizi wanaovalia suruali chini ya makalio.
Walimu wa shuleya Sekondari Chalinze wamepigana hadharani huku wakishangiliwa na wanafunzi, tukio hili limetokea jana tarehe 4 mwezi huu 2015.
Sio picha nzuri kwa jamii inayowazunguka walimu hao kwani ndio wanaotulelea vijana wetu hapa Chalinze.

Walimu wa siku hizi ni mataahira, hawana maadili kabisa

Generalisation