Walimu wapigana mbele ya wanafunzi

Walimu wapigana mbele ya wanafunzi

canal59

Member
Joined
Feb 13, 2015
Posts
64
Reaction score
36
Walimu wa shuleya Sekondari Chalinze wamepigana hadharani huku wakishangiliwa na wanafunzi, tukio hili limetokea jana tarehe 4 mwezi huu 2015.

Sio picha nzuri kwa jamii inayowazunguka walimu hao kwani ndio wanaotulelea vijana wetu hapa Chalinze.
 
Ni Kweli walimu hao wamepigana wakigombana kuhusu michango ya shule, ni shule ya kata pekee yenye michango mingi hapa Tanzania, michango kwa mwaka inafika zaidi 250000 /= afu ni ya day
 
Imekaa poa. Madhara ya kunywa viroba asubuhi.
 
Walimu wa shuleya Sekondari Chalinze wamepigana hadharani huku wakishangiliwa na wanafunzi, tukio hili limetokea jana tarehe 4 mwezi huu 2015.

Sio picha nzuri kwa jamii inayowazunguka walimu hao kwani ndio wanaotulelea vijana wetu hapa Chalinze.

Walikuwa wanapigania bwana ama!??
 
Walimu wa shuleya Sekondari Chalinze wamepigana hadharani huku wakishangiliwa na wanafunzi, tukio hili limetokea jana tarehe 4 mwezi huu 2015.

Sio picha nzuri kwa jamii inayowazunguka walimu hao kwani ndio wanaotulelea vijana wetu hapa Chalinze.

weka picha mkuu.
 
eti wanafunzi wakawa wanawashangilia ha ha ha ha ha ....aibu yao
 
Walimu wa siku hizi ni mataahira, hawana maadili kabisa
 
Hawawashindi "baadhi" makada aseee. . . . ., .wako makada mataahira bhana au we hujwahi kukutana na kiongozi wao laki si pesa. . . . .ndio utajua maana halisi ya taahira
 
Last edited by a moderator:
Wanakunjana wabunge tena mbele ya media sembuse walimu tena mbele ya wanafunzi tu!
Wakunjane tu
 
Back
Top Bottom