Huh! imekula kwa mdogo wangu
Serikali imetangaza mpya wa ajira za walimu 28,638 wa Shule za Msingi na Sekondari katika mikoa minane.
"wote tutawaajiri ,lakini safari hii hakuna ajira za mijini na wote watakao ajiriwa warapelekwa katika wilaya zenye changamoto kwa hiyo mtakwenda mikoa ya Katavi, Kigoma, Rukwa, Mbeya, Shinyanga, Manyara, Mtwara na Lindi"
Ajira hizo zitaanza Januari Mwakani.
Mwananchi na Nipashe, na yalisemwa na Naibu Waziri wa Elimu Mulugo kwenye mahafali MUCE Iringa
Mwananchi na Nipashe, na yalisemwa na Naibu Waziri wa Elimu Mulugo kwenye mahafali MUCE Iringa
Mkuu Tabora kuna walimu wa kutosha kwa ajira zijazo kipaumbele ni kwa mikoa tajwa tu!
hamjawakosea kitu ila mnawapenda mnooo kwahiyo kwao si prioriteMkuu vipi Tabora hatupati kitu?Au kwetu sio mkoa wa pembezoni? Hivi ccm tumewakosea nini wanyamwezi lakini jamani?
Nokla Mulugo si chanzo cha kukiamini kwa sasa,
je walim wengine wakiajiriwa mjini?na isitoshe hata mijini nako kuna tatizo la walimu
Sasa mkuu kama naibu Waziri mwenye dhamana ya Elimu sio chanzo cha kuaminika nani atakua chanzo cha kuaminika? Na kwanini aongee maneno hayo kwa kumridhisha nani?