Hbr jf members! Kimsingi MULUGO atakuwa amesahau tu au purposely anataka kuuonesha tu umma kuwa naye anaweza kuzungumza! Nasema hivyo kutokana na uzoefu kwenye nchi hii na hoja zangu ni kama ifuatavyo:
Mosi,kuna watoto wa wakubwa ambao kupangiwa "DISADVANTAGED REGIONS" ni ndot😵K,anaweza pangwa tu katika kile ambacho ni changa la macho hlf asiende na kupangiwa mikoa yenye neema.
Pili,katika hali ya kawaida kuna watu ambao wapo kwenye ndoa na ambao kimsingi huwezi kuwaseparate mhe.waziri analizungumziaje hili.
Tatu,je inawezekana kuwa idadi hiyo inazidi 90% km ndiyo mikoa mingine itakosa totally mwalimu hata mmoja.
SOLUTION:Serikali irejeshe hardship allowance na kuboresha mazingira ya kazi kwani unaweza ukamlazimisha mwl.kwenda huko katavi na kwingineko lkn asifanye kazi kwa ufanisi kutokana na ukosefu wa miundombinu ya kufundishia