Walimu wapya 28,638 sasa kupelekwa vijijini

Walimu wapya 28,638 sasa kupelekwa vijijini

Hbr jf members! Kimsingi MULUGO atakuwa amesahau tu au purposely anataka kuuonesha tu umma kuwa naye anaweza kuzungumza! Nasema hivyo kutokana na uzoefu kwenye nchi hii na hoja zangu ni kama ifuatavyo:
Mosi,kuna watoto wa wakubwa ambao kupangiwa "DISADVANTAGED REGIONS" ni ndot😵K,anaweza pangwa tu katika kile ambacho ni changa la macho hlf asiende na kupangiwa mikoa yenye neema.
Pili,katika hali ya kawaida kuna watu ambao wapo kwenye ndoa na ambao kimsingi huwezi kuwaseparate mhe.waziri analizungumziaje hili.
Tatu,je inawezekana kuwa idadi hiyo inazidi 90% km ndiyo mikoa mingine itakosa totally mwalimu hata mmoja.
SOLUTION:Serikali irejeshe hardship allowance na kuboresha mazingira ya kazi kwani unaweza ukamlazimisha mwl.kwenda huko katavi na kwingineko lkn asifanye kazi kwa ufanisi kutokana na ukosefu wa miundombinu ya kufundishia
 
kwanza tambua kuwa alosema ni mulugo,wewe unamuamini mulugo?
Pili hata mijin hakuna walim,
tatu na wasipopangwa vijijini?
 
yaan mimi mheshimiwa zimbabwe simuelew anafikiria nini,huko vijijin tutakako pelekwa hali ya maisha ipoje?alafu anavo ongea ni kama ana komoa hivi yaani,mbona kawambwa yupo kimya wakati yeye ndo waziri na huyu ni naibu?yaani huyu headmasta wetu bana kazi kweli kweli,ndio watakapo shngaa tunaenda alafu hatufundish,wakarekebishe mazingira ndo watupeleke
 
Mulugo wa Waziri wa elimu Kilaza mkubwa,haaminiki kwa chochote akisemacho kabisa.
 
Mkuu CAY bila ya kuwa naelimu hata hiyo Tumbaku tutailima kwa njia za kisasa kweli?

Elimu mnayoihitaji nyie ni ya kutumia madawa ya tumbaku na utunzaji wa mazingira.Jambo ambalo linafanywa na wauzaji wa dawa !
 
Ni jambo jema kabisa,cha ni kuakikisha hawatoroki mlikowapeleka na kujazana palipo na umeme na maji.
 
Wewe bwana nani asiyejua nchi hii na propaganda za kisiasa?, kama mulugo anasema hivyo mbona kwenye majibu bungeni wanasema tofauti kwamba watasambaza waalimu nchi nzima hasa maeneo yenye upungufu mkubwa wa waalimu kwa mwaka huu wa fedha?

pili, kwa nini mlugo na wizara yake kama ni hivyo kabla ya kuhitimu kwa wanafunzi wa shahada ya kwanza walitoa form ya kujanza mikoa mitatu ambayo muhitimu angependa kwenda kufanya kazi
 
Nokla Mulugo si chanzo cha kukiamini kwa sasa,
je walim wengine wakiajiriwa mjini?na isitoshe hata mijini nako kuna tatizo la walimu

Kwa kweli hata mimi simuamini huyu kiongozi wetu kwani anajichanganya sana kuanzia kwenye namba (year 11964) hadi content (Tanzania=island of Zimbabwe, Pemba and Tanganyika maniland). Wadau ebu pitieni hizi takwimu toka huko Wizarani kwake Ministry of Education and Vocational Training::::: ndiyo muamue ni wapi hasa kwenye shortage ya walimu wa sekondari?? Je ni kweli hiyo mikoa aliyotaja ndiyo yenye upungufu mkubwa zaidi? Ebu nenda Kilindi (mkoa wa Tanga), wilya mpya ya Choma (mkoa wa Dodoma), Sikonge (mkoa wa Tabora) etc ukajionee upungufu wa walimu wa sekondari mpaka ushangae!!!

Source: Ministry of Education and Vocational Training:::::
 
Attachments

Back
Top Bottom