Walimu wapya kila mtu aseme amepangwa wapi?

Walimu wapya kila mtu aseme amepangwa wapi?

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,917
Reaction score
11,801
Leo naona humu hekaheka zimepungua sababu kubwa ni kwamba walimu wapya wameenda kuripoti tuna kila mtu aseme kapangwa wapi je kuna maji, umeme,na nyumba? halafu muache usharouharo mpige kazi maana mmeililia sana serikali iwaajiri, kazi njema.
 
Nimepangiwa meatu,thanx kwa mungu umeme na maji vipo nisharipoti na nimepata chumba,
we wapi?
 
Mie liwale lindi wala cjaripot coz nategemea kuingia udom kuchukua statement result. du, toka mwanza had lind, hv huko liwale kukoje coz ilibd nchukue raman ndo nkaiona kuwa ipo ktkt ya mkoa wa lindi
 
Back
Top Bottom