Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 70
Serikali inatarajia kuajiri walimu wapya 23,027wa ngazi ya Cheti, stashahada na shahada katika Halmashauri mbalimbali hapa nchini. Walimu hao wa shule za msingi , yaani ngazi ya cheti ni 10,595, stashahada ni 5,848 na shahada ni 6,584 ambao jumla yao ni 23,027 ambao walikuwa hawajaajiriwa.
Source : Mwananchi
HONGERA SERILAKI KWA KUONA UMUHIMU WA KUWA NA WALIMU WA KUTOSHA MASHULENI.
haka kameshakuwa kawimbo kazuri kanakokuja na kuondoka kila uchao! Ngoja nimwambie nanii wakati anatafuta kazi, ajiandae kulamba tena posh then aingie mitini kama mwaka jana. Nani aende porini akapange kwenye vibanda vya wavuvi
Serikali inatarajia kuajiri walimu wapya 23,027wa ngazi ya Cheti, stashahada na shahada katika Halmashauri mbalimbali hapa nchini. Walimu hao wa shule za msingi , yaani ngazi ya cheti ni 10,595, stashahada ni 5,848 na shahada ni 6,584 ambao jumla yao ni 23,027 ambao walikuwa hawajaajiriwa.
Source : Mwananchi
HONGERA SERILAKI KWA KUONA UMUHIMU WA KUWA NA WALIMU WA KUTOSHA MASHULENI.
Mwezi wa pili mwakaniInatarajia lini??
acha uongo ni mwezi wa tatu mwakaniMwezi wa pili mwakani
Bora yako we mkweliacha uongo ni mwezi wa tatu mwakani
Serikali inatarajia kuajiri walimu wapya 23,027wa ngazi ya Cheti, stashahada na shahada katika Halmashauri mbalimbali hapa nchini. Walimu hao wa shule za msingi , yaani ngazi ya cheti ni 10,595, stashahada ni 5,848 na shahada ni 6,584 ambao jumla yao ni 23,027 ambao walikuwa hawajaajiriwa.
Source : Mwananchi
HONGERA SERILAKI KWA KUONA UMUHIMU WA KUWA NA WALIMU WA KUTOSHA MASHULENI.
Walimu wapya walipaswa kuanzia Julai mosi 2011. Kwa nini hamkuwajiri? Je fedha iliyotengwa katika bajeti ya 2011/2012 ili kuwaajiri walimu ktk kipindi cha Julai-Nov ipo wapi? Au walimu hawa wataanza kulipwa mishahara na stahili zao mbalimbali kuanzia lini? Julai au Januari 2011?