Walimu wapya kuajiriwa nchini

Walimu wapya kuajiriwa nchini

Mwanajamii

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2008
Posts
7,063
Reaction score
70
Serikali inatarajia kuajiri walimu wapya 23,027wa ngazi ya Cheti, stashahada na shahada katika Halmashauri mbalimbali hapa nchini. Walimu hao wa shule za msingi , yaani ngazi ya cheti ni 10,595, stashahada ni 5,848 na shahada ni 6,584 ambao jumla yao ni 23,027 ambao walikuwa hawajaajiriwa.

Source : Mwananchi

HONGERA SERILAKI KWA KUONA UMUHIMU WA KUWA NA WALIMU WA KUTOSHA MASHULENI.
 
crap!!!
 
haka kameshakuwa kawimbo kazuri kanakokuja na kuondoka kila uchao! ngoja nimwambie nanii wakati anatafuta kazi, ajiandae kulamba tena posh then aingie mitini kama mwaka jana. Nani aende porini akapange kwenye vibanda vya wavuvi
 
haka kameshakuwa kawimbo kazuri kanakokuja na kuondoka kila uchao! Ngoja nimwambie nanii wakati anatafuta kazi, ajiandae kulamba tena posh then aingie mitini kama mwaka jana. Nani aende porini akapange kwenye vibanda vya wavuvi

chukua chako mapema.
 
Serikali inatarajia kuajiri walimu wapya 23,027wa ngazi ya Cheti, stashahada na shahada katika Halmashauri mbalimbali hapa nchini. Walimu hao wa shule za msingi , yaani ngazi ya cheti ni 10,595, stashahada ni 5,848 na shahada ni 6,584 ambao jumla yao ni 23,027 ambao walikuwa hawajaajiriwa.

Source : Mwananchi

HONGERA SERILAKI KWA KUONA UMUHIMU WA KUWA NA WALIMU WA KUTOSHA MASHULENI.

Inatarajia lini??
 
hivi kuna tatizo gani kwa sasa serikalini tunashindwa kuelewa kwa nini hadi leo hii walimu wapya hawajaajiriwa wakati nchi bado ina upungufu wa walimu au pesa ndo zimetumika kwenye uchaguzi wa ubunge igunga si mseme tu ukweli wenu nchi imewashinda achieni wapinzani waendeshe serikali hamna tena jipya
 
Serikali inatarajia kuajiri walimu wapya 23,027wa ngazi ya Cheti, stashahada na shahada katika Halmashauri mbalimbali hapa nchini. Walimu hao wa shule za msingi , yaani ngazi ya cheti ni 10,595, stashahada ni 5,848 na shahada ni 6,584 ambao jumla yao ni 23,027 ambao walikuwa hawajaajiriwa.

Source : Mwananchi

HONGERA SERILAKI KWA KUONA UMUHIMU WA KUWA NA WALIMU WA KUTOSHA MASHULENI.

Walimu wapya walipaswa kuanzia Julai mosi 2011. Kwa nini hamkuwajiri? Je fedha iliyotengwa katika bajeti ya 2011/2012 ili kuwaajiri walimu ktk kipindi cha Julai-Nov ipo wapi? Au walimu hawa wataanza kulipwa mishahara na stahili zao mbalimbali kuanzia lini? Julai au Januari 2011?
 
kama hali ndo iko hivi sasa ikifika mwaka 2015 mambo yatakuwaje? kuna uwezekano wa ajira kutokuwepo kabisa kwani
ushauri wangu kwa wizara ya elimu waanzishe kozi ya ujasiliamali ili hata kama ajira itakuwa ngumu waweze kuumia maarifa kujiajiri wenyewe
 
Walimu wapya walipaswa kuanzia Julai mosi 2011. Kwa nini hamkuwajiri? Je fedha iliyotengwa katika bajeti ya 2011/2012 ili kuwaajiri walimu ktk kipindi cha Julai-Nov ipo wapi? Au walimu hawa wataanza kulipwa mishahara na stahili zao mbalimbali kuanzia lini? Julai au Januari 2011?

maswali.yako.magumuuuuuu.....

JK ANA JIBU RAHISI, CIJUWIIIIIIII..@#$$ haaaaaaaahhhh
 
Hakuna hela ya kuajili waalimu wapya kwa sasa.
Ingekuwepo, wangeajiliwa toka mwezi julai maana suala la uhaba wa waalimu ktk shule zetu halihitaji utafiti!
 
Back
Top Bottom