1.kodi ya chumba cha kawaida- 50000/= kwa mwezi
2.maji ndoo moja lita20 -200/= hadi 500/=
3.umeme 15000/= kwa mwezi
4.dar es salaam kuna joto sana
5.kwa mshahara wa mwalimu,ni vigumu kufanya biashara ya kujiongezea kipato maana kodi ya chumba cha kufanyia biashara ni kubwa.
6.dar es salaam ina kero ya "traffic jam" hasa wakati wa asubuhi na jioni.
Kaeni mkijua kuwa jiji hili lina changamoto nyingi.
Nawasilisha