Walimu wapya mliotamani kupangwa dar.hamuyajui haya

Walimu wapya mliotamani kupangwa dar.hamuyajui haya

CEYLON

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2012
Posts
305
Reaction score
141
1.kodi ya chumba cha kawaida- 50000/= kwa mwezi
2.maji ndoo moja lita20 -200/= hadi 500/=
3.umeme 15000/= kwa mwezi
4.dar es salaam kuna joto sana
5.kwa mshahara wa mwalimu,ni vigumu kufanya biashara ya kujiongezea kipato maana kodi ya chumba cha kufanyia biashara ni kubwa.
6.Dar es salaam ina kero ya "traffic jam" hasa wakati wa asubuhi na jioni.
Kaeni mkijua kuwa jiji hili lina changamoto nyingi.
NAWASILISHA
 
Na kwa waliopangwa Arusha itakuwaje mkuu,nadhani costs ziko similar coz Huu nao ni mji wa kitalii labda aulizwe Arusha one afafanue
 
Ni kweli kuna changamoto sana,lakini faida pia ni nyingi mno;
1.Ni rahisi kujiendeleza kielim maana hapa Dar kuna vyuo vingi hata Kwa masomo ya jioni.
2.Ni karibu na wizara ya Elimu hivo ukiwa na tatzo kuhusu ajira yako ni rahisi kufuatilia.
3.Unaweza kununua bidhaa malimbali Kwa bei nafuu na kuuza mikoani.
5.Unakutana na watu mbalimbali na hasa waliofanikiwa,inakupa ujasiri wa kutafuta.
6.Huduma za kijamii kama afya na elimu zimeboreshwa Kwa ustawi wako na familia ako.
NB;Kama wewe si mpambanaji umezoea Boom la loans board,kupaka poda,mlegezo Kwa wingi na kunyoa kiduku ujue utasubiri pensheni.
 
kwa tasimini ya hala naona changamoto ni nyingi kuliko faida,asilimia kubwa ya mshahara utautumia kulipia kodi ya nyumba,umeme na usafili,,,,,na huwezi kujiendeleza kiulahisi coz pesa inatuka tabu,.,...,.,.,...walimu kimbilieni mikoani mkatumie fulsa ndo mje mjini kujiendeza:wave:
 
1.kodi ya chumba cha kawaida- 50000/= kwa mwezi
2.maji ndoo moja lita20 -200/= hadi 500/=
3.umeme 15000/= kwa mwezi
4.dar es salaam kuna joto sana
5.kwa mshahara wa mwalimu,ni vigumu kufanya biashara ya kujiongezea kipato maana kodi ya chumba cha kufanyia biashara ni kubwa.
6.dar es salaam ina kero ya "traffic jam" hasa wakati wa asubuhi na jioni.
Kaeni mkijua kuwa jiji hili lina changamoto nyingi.
Nawasilisha

shida ndio kipimo cha akili.
 
Back
Top Bottom