Hakuna TGTS G7 kama ulivyosema na kumbuka mimi sio ajira mpya nipo kwenye gemu kitamboAcha upumbavu kwenye mikataba yako ulijaza unaaanza unaanzia Tgts gani?! Ulichojaza kwenye mkataba ndio unachoanza nacho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna TGTS G7 kama ulivyosema na kumbuka mimi sio ajira mpya nipo kwenye gemu kitamboAcha upumbavu kwenye mikataba yako ulijaza unaaanza unaanzia Tgts gani?! Ulichojaza kwenye mkataba ndio unachoanza nacho
Wewe ni mgeni kwanini uulize hili kama upo kwenye gemu kitambo?Hakuna TGTS G7 kama ulivyosema na kumbuka mimi sio ajira mpya nipo kwenye gemu kitambo
Dogo sisi wakubwa zako ajira tarehe 1/3/2013.Wewe ni mgeni kwanini uulize hili kama upo kwenye gemu kitambo?
Kumbe mwanafunzi wangu 2007 employed as licenceded teacherDogo sisi wakubwa zako ajira tarehe 1/3/2013.
TGTS E1.
Nakaribia sasa kwenda F
Yap D3Hongera dogo, ni kweli mmeanza na D3 walimu wa science?
Serikali ya ajabu maana wenzenu walioajiriwa tangia 2014 wapo D1 hadi leo.Yap D3
Kweliiiii, hawa walimu wa siku hizi hawana uzalendo. Hata wakilipwaa hakuna anayeridhika na mshahara🤣Ole wenu mhamie private!
Tutawafutia vi degree vyenu na kutia kufuli vishule vilivyowapokea
Nasema Uongo Ndugu zangu?
Kila mtu angevumilia na kuridhika hii dunia ingefika hapa ilipo? Kijana anadai haki zake nyie mnamletea busara zilizozeeka!Kabla ya kupewa ajira mlikuwa mnalalamika na sasa ajira mmepata mnaanza lawama zingine. Jifunzeni kuwa na roho ya kuridhika. Mishahara inaweza kuchelewa lakini lazima mtalipwa tu kwa maana ni haki yenu.
Jifunzeni uvumilivu na kuridhika ndio msingi mkubwa sana katika maisha.
Kila mtu angeridhika bungeni tusingekuwa na maprofesa hawalioni hiloKila mtu angevumilia na kuridhika hii dunia ingefika hapa ilipo? Kijana anadai haki zake nyie mnamletea busara zilizozeeka!
Hili tatizo limesababishwa na Nchi kuongozwa na mtu mmoja! Huku akijigeuza kuwa Alfa na Omega. Ni jambo linalo kera sana!Serikali ya ajabu maana wenzenu walioajiriwa tangia 2014 wapo D1 hadi leo.
Hongera sana piga kazi