Walimu wapya waanza kutaabika

Walidhan kupata ajira ndo mwisho wa matatizo? Na huu ni mwanzo tu wataexperience meengi saana hii ndo kada ya kinoko kazi ipo
 
Hilo ni suala la kawaida kwenye utumishi wa umma mi mbona nilikaa miezi 9 na badae nililipwa na malimbikizo yote ya mishahara yangu,watanzania wanapenda sana kulalamika.

Mkuu:miezi tisa bila mshahara?we mzalendo wa mfano.Ni JKT ilikufunza uzalendo huo au?
 
poleni sana,changamoto hizi ndo zinapelekea walimu kukimbia vituo vya kazi,kuna wengine wameamua kuendesha bodaboda.n.k
 
Bora uongee wewe kaka, kama halina akili vile!! Labda ana ndugu serikalini, ndio wale wale (CONSERVATIVES)
 
Asante ndugu, haya si ndio yale majitu yasiyojua haki zao za msingi!!! Bora linyamaze kama kichwani ni KINDERGATEN
 
Asante ndugu, haya si ndio yale majitu yasiyojua haki zao za msingi!!! Bora linyamaze kama kichwani ni KINDERGATEN

bora asingesoma hana maana,hawa ndo wanafanya waalimu kuishi maisha magumu na wanaonekana ni watu wa kustahimili shida.
 
Hapa ndipo ugumu wa maisha ya ualimu unapoanzia,hao walimu wataanza kukopakopa ili wajikimu kimaisha,mwisho wake ni kuwa na madeni lukuki miezi michache tu baada ya kuanza kazi.Hii ndiyo TZ ya Watanzania.
 
Toka Wilaya ipi sasa? Ninachojua mimi Walimu waliajiriwa tarehe 1/3/2013 na sio mwisho wa mwezi wa pili
 
Toka Wilaya ipi sasa? Ninachojua mimi Walimu waliajiriwa tarehe 1/3/2013 na sio mwisho wa mwezi wa pili

Unachojua bdo hakibadili ukweli kua walimu wanafanyiwa ukatili!
 
Walidhan kupata ajira ndo mwisho wa matatizo? Na huu ni mwanzo tu wataexperience meengi saana hii ndo kada ya kinoko kazi ipo

Unayosema ni kweli tupu ila tambua kua matokeo ya kidato cha4 2012 yaweza kua mazuri sana ukijalinganisha na ya 2013,
 
Hapa ndipo ugumu wa maisha ya ualimu unapoanzia,hao walimu wataanza kukopakopa ili wajikimu kimaisha,mwisho wake ni kuwa na madeni lukuki miezi michache tu baada ya kuanza kazi.Hii ndiyo TZ ya Watanzania.

yaan we acha tu, wengine walianza kukopa nyumban kwn hata naul hawakuwa nazo, wamefka vituon hata naul hawajarudshiwa then payrol kimya! nyumba kapanga na mwez unaisha kod inahtajika
halafu jitu jingne lenye akil za kuokota linalopoka uvmbo kama huu, eti mm nilikaa miez9 cjalipya tuache kulalamika kwel!!!!!!!!
huyu mbulula akiongea mbele yngu hospital halali yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…