Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Safiiiiii sana, komaa nao
Wanatudanganya tu na kofia na mabelon yao kama masega ya nyuki....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safiiiiii sana, komaa nao
Una makengeza ya macho na ubongo! kuna sehemu nimesema 'degree wote'? na ni wapi nimekashifu watu wa degree? aisee ungejua nina hasira ya kukosa mshahara usingenitibua...halafu kwa taarifa yako nina uhakika na nilichokiandika kuwa asilimia kubwa ya wenye degree wamepata mshahara...
Wanatudanganya tu na kofia na mabelon yao kama masega ya nyuki....
ivi siku hizi CWT ndo inayolipa waalimu??Wakati jana raisi akitangaza nyongeza ya mshahara kuna idadi kubwa ya walimu wapya walioajiriwa aprili ambao hawajapata mshahara mfano h/mashauri ya kilindi ni walimu wapya 15 tu walioingiziwa mshahara...halmashauri zingine ni watu 10~30 waliopata mshahara..Sasa CWT inafanya nini? na inavyoonyesha ni jambo la makusudi limefanyika maana wale wa degree wengi wamepata mshahara..jamani serikali iache utani hivi umpange mtu porini halafu usimpe mshahara unategemea aishije??