Enzi hizo kulikuwa na SUMATRA ya kupandisha nauli hovyo? Enzi hizo kila Mwalimu alipewa nyumba ya kuishi shuleni na baadhi ya nyumba zilikuwa na kila kitu. Inashangaza sana wenzio wanatamba kwamba wamepaita hatua kubwa miaka 50 baada ya uhuru wewe unakuja hapa kusifia ujinga wa mwaka 1947. Utumbo mtupu..Walimu walioajiriwa hv karibuni kweli digitali kwn walimu wazoefu enzi za ajira zao mpya walikuwa na haiba ya kutosha kwan kudai serikali kwao ni mwiko hvyo igeni hayo.
unavyosema HAIBA YA KUTOSHA unamaanisha nini jamaa..Walimu walioajiriwa hv karibuni kweli digitali kwn walimu wazoefu enzi za ajira zao mpya walikuwa na haiba ya kutosha kwan kudai serikali kwao ni mwiko hvyo igeni hayo.