Walimu wapya wataka kuandamana-Tz

Walimu wapya wataka kuandamana-Tz

Pmaji

Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
34
Reaction score
2
Walimu walioajiriwa hv karibuni kweli digitali kwn walimu wazoefu enzi za ajira zao mpya walikuwa na haiba ya kutosha kwan kudai serikali kwao ni mwiko hvyo igeni hayo.
 
Walimu walioajiriwa hv karibuni kweli digitali kwn walimu wazoefu enzi za ajira zao mpya walikuwa na haiba ya kutosha kwan kudai serikali kwao ni mwiko hvyo igeni hayo.
Enzi hizo kulikuwa na SUMATRA ya kupandisha nauli hovyo? Enzi hizo kila Mwalimu alipewa nyumba ya kuishi shuleni na baadhi ya nyumba zilikuwa na kila kitu. Inashangaza sana wenzio wanatamba kwamba wamepaita hatua kubwa miaka 50 baada ya uhuru wewe unakuja hapa kusifia ujinga wa mwaka 1947. Utumbo mtupu..
 
Walimu walioajiriwa hv karibuni kweli digitali kwn walimu wazoefu enzi za ajira zao mpya walikuwa na haiba ya kutosha kwan kudai serikali kwao ni mwiko hvyo igeni hayo.
unavyosema HAIBA YA KUTOSHA unamaanisha nini jamaa..
 
Nasikia harufu kali sana ya bange
 
vipi teaching allowances kipindi hiki zipo kwani?
 
Weka wazi taarifa yako!km haijakamilika hv!7bu nn na n wa wap?
 
Back
Top Bottom