Haaagh! Hadi mimi?? Wallah ntaua mtu!!
Ndo "ujiandae kisaikolojia" hivo. Hali si hali. Ukiona unaambiwa kalete barua ya mwenyekiti wa kitongoji ujue unabii unatimia. Muombe Mungu habari hii iwe ni Tetesi!!
Haaagh! Hadi mimi?? Wallah ntaua mtu!!
Usijali babu mlinzi wa shule atasimamia show mwezi woteeeee...tehe teheee.wewe usiu na wasiwasi, si walikupa ualim wa store vile, anza kuuza yale majembe,kwanja!hahaa ndo hivyo kama hamna mshahara utaishije sasa?hahaha...ukikamatwa mimi simooooo....
ha ha ha afu wewe! Muone !! Nakwambia ntauza store nzima na madirisha yake! Wasintanie!!!
Hahaaha...uza, vikiisha mchombeze babu mlinzi hadi akupe fungua za LAB ,hapo sasa unaanza kubeba test tube,separating funnel,measuring cylinder n.k....hahaha chemical usizisogeleeee kabisaaaa mana mwenzangu wewe wa vishazi na vitenzi vikurupushi usije ukaharibu screen server bureeee tukakosa mahari bureeee..hahaa!ukikamatwaaa simooooo...tehe tehe teheee
Hata wazoefu hatujapata salary hadi leo,tatizo lipo wapi?
Kwa uzoefu wako huwa mnapata salary tarehe ngapi???
ha ha ha ha!!nakwambiaje mkuu mwenyewe wa shule akikaa vibaya tu namuuza nayeye vilevile!!! He he kuna vitu wanaita eti vitenzi ving'ang'anizi !! Wallah hadi faya ex tingisha ntauza !!
Hata wazoefu hatujapata salary hadi leo [tarehe 28],tatizo lipo wapi?
Haaagh! Hadi mimi?? Wallah ntaua mtu!!