middo
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 207
- 56
Ijumaa iliyopta nilikua halmashaur kwangu nikifwatilia mambo yangu. Afisa utumishi wa wilaya akanidokeza kwamba kuna kundi kubwa sana kama si wote la walimu wapya wakakosa mshahara wa mwezi huu wa 4. Nilivyojarbu kumdadisi akadai eti system inayosimamia malipo kwa wafanyakazi wa serikali imepata tatizo, so walimu wengi hawajaingia kwenye system!!