Walimu watatu washikiliwa na TAKUKURU Kagera kwa udanganyifu

Walimu watatu washikiliwa na TAKUKURU Kagera kwa udanganyifu

MATOKEO ya mitihani yote yawe yanaandikwa na majina urudishwe utaratibu wa zamani hili la kutoa namba ya mwanafunzi na matokeo bila jina watu waovu watacheza sana michezo kama ya hiyo shule na inawezekana ilishachezwa sana
Ni kweli kabisa, maana matokeo yakitoka kwa majina ni rahisi watu na wanafunzi wenzie kutambua mapema kuwa jina lake limetumika kitapeli, hasa wale wanaomjua mwenye jina.
Hizi namba ni ngumu kujua kama namba imetumika kitapeli, sijui baraza waliwaza nini kuweka namba badala ya majina.
Kama vipi baraza la mitihani wawe wanatoa namba na jina kwa pamoja kuepusha utapeli kama huu.
Kesi kama hizi huenda ni nyingi ila hazijashtukiwa!
 
Walimu mmekinukisha tena! Yani haiishi week walimu wanachafua khari ya hewa.

Kazi ya ualimu bwana hapana , ninamdogo wangu kamaliza six nimemwambia bola atengeneze mpira wa matambara aanze mazoezi.
 
Wanafanya mchezo wakijinga hivyo, kama hawajasoma! hizo dili watuachie sisi! wakanye debe lakujitakia sasa
Kanda ya ziwa bado wanaendelea kutia aibu kwa kuendeleza michezo hii ya kizamani.

Huyo hayupo pekee, hiyo kanda hasa Geta, Mwanza, Simiyu, na Shinyanga wapo wengi tu wenye kufanya michezo hii.

Wana muaibisha mwamba wao toka kanda hiyo, huku anapambana kutimua kazini wenye vyeti kama hivyo kule wanaendeleza kuzalisha hao watu wanao kariri mitihani kinyume na sheria zetu.
 
Pigeni kazi TAKUKURU Kagera msichoke, Biharamulo ni wilaya iliyokuwa imeshindikana. Iligeuka kuwa sehemu ya maficho ambapo watu wanafanya wanavyotaka. Chunguzeni pia hili la wakuu wa shule zenye advance kugang'ania kwenye hizo shule kwa muda mrefu sana na hata wakipewa uhamisho wanau punch juu kwa juu. Wana maslahi gani na hizo shule.
 
Wasisahau pia kumkamata na msimamizi wa huo mtihani maana kabla ya hao wanafunzi kuanza kufanya hiyo mitihani yao ya Taifa, wanatakiwa kuthibitishwa kama ndiyo wenyewe! kupitia picha zao maalum (Photo Entry) zilizotumwa na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA).
Picha aliyoenda NECTA ni ya yule aliyefanya mtihani kwa majina ya mwingine.
 
Hao Takukuru mbona walishindwa kumkamata kigwangala?na wakamtolisha Gambo?
 
Sio roho mbaya bali kujihami ni sawa na mtu asajili laini kwa jina lako kiwizi kisha msala ukitokea wewe ndo mwenye jukumu la kubeba mzigo
Wakati mwengine inakuaga ni roho mbaya tu ya wazazi unakuta mtoto wao aliacha shule zamani inafika kipindi Cha mtiani ndo wanampeleka au wamesikia jina lake linatumika na mtu wanaanza vurumai ilihali wote wakose
 
Pigeni kazi TAKUKURU Kagera msichoke, Biharamulo ni wilaya iliyokuwa imeshindikana. Iligeuka kuwa sehemu ya maficho ambapo watu wanafanya wanavyotaka. Chunguzeni pia hili la wakuu wa shule zenye advance kugang'ania kwenye hizo shule kwa muda mrefu sana na hata wakipewa uhamisho wanau punch juu kwa juu. Wana maslahi gani na hizo shule.
Majungu, Biharamulo kuna shule ngapi za serikali zenye advance?

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom