Kwani wabunge wote wanawakilisha matatizo ya wananchi wao? Si wapo wanaoenda kusinzia bungeni? Madaktari wote wanaponya wagonjwa? Hakuna anaezembea hadi mgonjwa akafa? Polisi hawali rushwa? Kama wanakula walifundishwa kula rushwa? Hivyo hivyo kwa walimu si wote wanauwezo wa kufundisha na kueleweka. Kama utataka wawe wanapema interview kwanza ndio waajiriwe basi iwe kwa watumishi wote.
Huyu mtoa post ni MSENGENYAJI. Hivi waalimu si wanatahiniwa zaidi ya mara 4 au 6? Halafu huyu atakuwa ni mwangafunzi tena backbencher. Anatumia kalio kufikiria na bongo hazimtoshi.
baada ya kukutana na walimu wengi wasioweza kabisa kufundisha na hawaeleweki darasani,mwisho nimebaini wengi wao hawastahili hata kuajiliwa,mfumo wa kuwaajili bila interview kama matakwa ya ajira nyingi ndio upenyo wa mamia wasiofaa kuajiliwa ualimu
Ualimu pasipo Elimu. Ndo ajira ya uhakika TZ, Ukisomea tu unajua utapata Kazi