Walimu wengi hawana vigezo na hawana uwezo wa kufundisha

Walimu wengi hawana vigezo na hawana uwezo wa kufundisha

baada ya kukutana na walimu wengi wasioweza kabisa kufundisha na hawaeleweki darasani,mwisho nimebaini wengi wao hawastahili hata kuajiliwa,mfumo wa kuwaajili bila interview kama matakwa ya ajira nyingi ndio upenyo wa mamia wasiofaa kuajiliwa ualimu

Haijalishi ww chonga tuuu sisi tunapiga kazi kwan wote wanaokosea huwa hawajafanyiwa usaili? then je yule daktar alikosea chumba cha upasuaji akampasua mtu kichwa badala ya goti tena ni Tz je mbona husemi kila siku walimu tuu vp mbona hutetei maslahi yao. Kama haitoshi je wale wahasibu wanaokamatwa wamekosea mbona husemi au ww unatatizo na walimu kwani ulitaka wakufanyie mtihani ufaulu kama umefeli ni ww acha ss walimu tufanye kazi yetu
 
wewe ni batamaji sio bure.
hakuna batamaji anaetumia jamiiforum,inaelekea hukusoma hata biology,sina sifa za kuwa batamaji,a beefwitted teacher has this poor way of arguing
 
Haijalishi ww chonga tuuu sisi tunapiga kazi kwan wote wanaokosea huwa hawajafanyiwa usaili? then je yule daktar alikosea chumba cha upasuaji akampasua mtu kichwa badala ya goti tena ni Tz je mbona husemi kila siku walimu tuu vp mbona hutetei maslahi yao. Kama haitoshi je wale wahasibu wanaokamatwa wamekosea mbona husemi au ww unatatizo na walimu kwani ulitaka wakufanyie mtihani ufaulu kama umefeli ni ww acha ss walimu tufanye kazi yetu

Masikini mwalimu hajui hata kuandika
 
Ualim ni kimbilio la maskin na sio waliofeli,acha kuropoka bila kua na ushahd,kama ni hvo angalia sifa za utatibu na ualimu kama sifa zao zinafanana kwa ngaz ya chet had digr,makoz mengnewote wanachukua ma D na mafoo ya 30 na kuendela nashangaa mkisema walim ni kimbilio la waliofel,sio kwel punguzen misifa mkiwa humu ndan
hayo maneno ni yako,na wala haijawahi kuwa kweli ya kwamba kimbilio la waliofeli ni ualimu,ukifeli huendi kokote na wala cheti hupati,mimi nimesema wengi wenye ufaulu mdogo ndo wanakuwa na last option ya kwenda ualimu,natambua wapo excellent teachers with excellent perfomance lakini ni tone kwenye bahari ya maji.
 
kama walikuwa hawaelewi na wewe ndo mana hueleweki.
it was an error due to a quick reply,walimu wangu wengi walikuwa wanaeleweka na wasioeleweka hawakuwa na nafasi ya kuendelea kunifundisha
 
wewe unadhani interview ni kitu gani na inamaana ipi? pia ukumbuke kuwa huyo mtu amekaa shule muda mrefu na kufanikiwa kufaulu masomo yote mpka akawa na sifa ya kuitwa kwenye interview, je hiyo interview tena ni ya masaa machache inaweza ikawa ni kigezo muhimu kama unavyotaka kutuaminisha?
kumbe ulikuwa unajadili huku huelewi maana ya interview,google is very friendly just ask it and it will tell you,kusoma na kufaulu si hoja wala kigezo cha kufundisha ukaeleweka darasani,jua kuwa zaidi ya asilimia 95 ya elimu ni theory huku kazini ni practical work. Unaweza kufaulu masomo ya ualimu ila usifaulu kufundisha
 
Si kama sijui kuwa kuna google nilikuwa napima reasoning yako, basi nashindwa kuendelea na mjadala na wewe maana umeshindwa kujibu hoja pia umeshindwa kuelewa hoja yangu
 
Haijalishi ww chonga tuuu sisi tunapiga kazi kwan wote wanaokosea huwa hawajafanyiwa usaili? then je yule daktar alikosea chumba cha upasuaji akampasua mtu kichwa badala ya goti tena ni Tz je mbona husemi kila siku walimu tuu vp mbona hutetei maslahi yao. Kama haitoshi je wale wahasibu wanaokamatwa wamekosea mbona husemi au ww unatatizo na walimu kwani ulitaka wakufanyie mtihani ufaulu kama umefeli ni ww acha ss walimu tufanye kazi yetu
kwani hili ni jukwaa la udakitari ama uhasibu mpaka nilete mada hizo hapa?kweli hawa ndo walimu wasiojielewa,unaweza kuthibitisha kuwa siongelei mambo mengine zaidi ya walimu na sijawahi kudai waongezwe maslahi?mada zangu zote zipo hapa hapa usiropoke,na hii ndo ya kwanza kuongelea walimu
 
hawa ndio aina ya walimu ninaowaongelea,hujui hata kutete wala kujenga hoja juu ya kinachofanyika kama unakubaliana nacho,wewe kwa akili yako unaweza kunishawishi kuwa ni sahihi walimu kuajiliwa bila interview?

unaonesha ni jinsi gani huna akili. Wewe ni sawa na ndege kwale. Interview kwako ni nini? Unajua ASSESSMENT NI NINI? Unanitilia shaka. Utakuwa backbencher hadi kanisani kwenu. Watu wanaofanyiwa interview wangefanyiwa ASSESSMENT ni wachache wangepata ajira huko walipo. Omba mungu usipitie assessment wewe kibuyu uliyetoa hii post. Ujinga umekujaa. MSENGENYAJI mkubwa.
 
Umekosa umaarufu MMU sasa umeamua kuutafuta jukwaa hili! Umebugi !!! Huo ndio mwisho wako wa kufikiri eeeh ?!!Wacha nikupe polee!! Infact mada yako HAINA MASHIKO peleka kwenye vijiwe vya kahawa!! Humpati mtu hapa!!
 
Si kama sijui kuwa kuna google nilikuwa napima reasoning yako, basi nashindwa kuendelea na mjadala na wewe maana umeshindwa kujibu hoja pia umeshindwa kuelewa hoja yangu
huwezi kupima reasoning ya mtu kwa kumuuliza maana ya neno,ni hatari sana kuwa na walimu wa namna hii,reasoning inapimwa kwa opinions,arguments and justification,maana ya interview ningekupa ileile iliyopo kwenye dictionary ama kwenye google ndo mana nikakwambia uiangalie huko na kama hoja zangu haziendani nayo basi useme
 
Kwa kweli uko sawa kabisa. Walimu wengi hawawezi hata kufundisha kabisa. Wengi wao aidha wamechukua vyeti vya ndugu zao na sijui kwenye Vyuo vya ualimu kwa nini wanafaulu na huku hawajui chochote. Somo la Hesabu na Kiingereza ndiyo sumu kwao. Ukimpangie afundishe masomo hayo anaweza kukimbia shule. Baadhi ya wanafunzi wanawazidi hawa waalimu kwa uwezo kimasomo. Nashauri mtindo wa usaili uwepo wakati wa kuwaajiri.
 
huwezi kupima reasoning ya mtu kwa kumuuliza maana ya neno,ni hatari sana kuwa na walimu wa namna hii,reasoning inapimwa kwa opinions and justification,maana ya interview ningekupa ileile iliyopo kwenye dictionary ama kwenye google ndo mana nikakwambia uiangalie huko na kama hoja zangu haziendani nayo basi useme
Inaonesha hukusoma vizuri maada yangu nenda rudia tena kuisoma na uielewe, pale sikuuliza maana ya neno interview tu, bali swali hili lilikuwa kujenga hoja ya mwaswali mengine mbona hujayajibu. Maana nimekuuliza je interview inaweza saidia kutatua hilo tatizo unalisema wewe naamini hapa inaweza kukusaidia kuelewa angalau kidogo kule ilikuwa ngumu kuelewa.
 
kwel nimeamini kuna watu wapagan wa mawazo hao hao walio kutoa ujinga hawana thaman kwako tangu lin mpumbav akamfundisha mpumbav mwenzake namashaka sana na research yako
 
Kwa kweli uko sawa kabisa. Walimu wengi hawawezi hata kufundisha kabisa. Wengi wao aidha wamechukua vyeti vya ndugu zao na sijui kwenye Vyuo vya ualimu kwa nini wanafaulu na huku hawajui chochote. Somo la Hesabu na Kiingereza ndiyo sumu kwao. Ukimpangie afundishe masomo hayo anaweza kukimbia shule. Baadhi ya wanafunzi wanawazidi hawa waalimu kwa uwezo kimasomo. Nashauri mtindo wa usaili uwepo wakati wa kuwaajiri.

ondoa upuuzi hapa. Mtu mzima buree. Mwanafunzi anamzidi mwalimu ndo kusemaje? Eti wanakimbia somo la kiingereza ndo kusemaje? Hata siku moja sijawahi kumdharau mwalimu wangu namna hii. Kwani walionifundisha nikafaulu hakuna niliokuwa nao darasani na wakafeli? Kwanini nilifaulu? Kwanini walifeli? Jiulize mshenzi mkubwa. Primary nilifundishwa kiingereza na waalimu walikuwa wazuri tu. Secondary nao walikuwa majembe tena wazuri mno. Sijawah pitia mikono ya waalimu unaosema wewe. Wanafunzi wa private mna shida ya kuwachambua waalimu wenu. Huku kenya huo upumbavu haupo. Sasa tuangalie mimi nimesoma primary tz, sec tz, chuo tz. Na kwa sasa nafundisha English na Geo huku kenya. Je nilipitia mikono ya waalimu gani? Hao wako sijawaona. Halafu kazi ya Mwalimu ni kufacilitate knowledge na sio kuimpart knowledge. Unataka akutafunie kila kitu? Mjinga wa mwisho. Ndo maana siku hizi hamfaulu. Kazi kuchambua waalimu. Nyokoo mtoa uzi na wachangiaji waliosapoti ushuzi.
 
Hasa walimu wa vyuo vya PRIVATE kama SAUT,RUCo,MWENGE,TUMAINI,EKENFORD ,TEKU,hawana uwezo kabisa
 
ha ha ha ha ha,akina profesa baregu?wewe kweli unachekesha

Hasara mojawapo ya kusoma vyuo vya PRIVATE ndio hii! mimi namaanisha walimu ambao wamesomea hivi vyuo vya private degree ya EDUCATION
 
Back
Top Bottom