Walimu wengi hawana vigezo na hawana uwezo wa kufundisha

Huyu mleta uzi hana tofauti na samaki anayeitwa KAMBA KOCHI.sifa kubwa ya huyu samaki ubongo na mavi zipo pamoja kichwani,kwa hiyo hapa ametumia ma....na sio ubongo.#NYAMBAFU .

mkuu umeniua mbavu,KAMBAKOCHI kweli hatari
 
baada ya kukutana na walimu wengi wasioweza kabisa kufundisha na hawaeleweki darasani,mwisho nimebaini wengi wao hawastahili hata kuajiliwa,mfumo wa kuwaajili bila interview kama matakwa ya ajira nyingi ndio upenyo wa mamia wasiofaa kuajiliwa ualimu

Unajifanya unajua lakini hamna kitu kama ingekuwa hivyo BTP ina kazi gani? Wewe unaonekana una mambo ya kike na vilevile unavyoonekana ni mtu ambaye unafikiria kwa kutumia ma-ka-lio, ni hayo tu
 
Hivi mmekosa vya kujadili au mana kila siku waalimu,nimegundua mnatuonea donge sana nyie watu,
nani asiyejua kuwa last option kwa wengi ni kusoma ualimu matokeo yasipofikia lengo,ni walimu wachache tu ndio ni cnmpitent ila walio wengi hawawezi hata kufundisha kwa sababu walipita katika mfumo usiofaa,hili nalo linahitaji kuangaliwa upya
 
baada ya kukutana na walimu wengi wasioweza kabisa kufundisha na hawaeleweki darasani,mwisho nimebaini wengi wao hawastahili hata kuajiliwa,mfumo wa kuwaajili bila interview kama matakwa ya ajira nyingi ndio upenyo wa mamia wasiofaa kuajiliwa ualimu

Naunga mkono hoja! unakuta mtu ana BAED kaspecialize mambo ya ACCOUNTING kichwani hamna kitu mimi naona kuwe na interview tu waombe hata watu wa Bachelor of arts in accounting ,waone kama hawajapigwa chini na degree zao za EDUCATION
 
Ualimu pasipo Elimu. Ndo ajira ya uhakika TZ, Ukisomea tu unajua utapata Kazi
ndo wachukue wote kama kokolo. naona inafaa utaratibu wa kuwaajili uangaliwe upya maana wengine ni chanzo kwa watoto kufeli mana hawaeleweki kabisa darasani
 
Acheni fikra mgando,kwan wewe umefundishwa na babu yako nn.
nimefundishwa na walimu,babu ni uhusiano tu wa kindugu ambapo babu huyo huyo pengine alinifundisha kama mwalimu, lakini wengi wa walionifundisha wanaeleweka darasani.
 
ubunge siyo taaluma mpaka nayo utake interview,huu ni uwezo mdogo wa kufikiria na pengine ni kwa sababu ya ubovu wa elimu yetu kwa sababu ya walimu waliokufundisha,naelewa matatizo katika sekta zingine pia lakini mada niliyokuwa nimenuia kuianzisha ni ya walimu na ajira zao bila interview na athari zake ili tuone tunaokoaje hii sekta
 
achana nae akili zake zimeamia chini ya kitovu zinasimama na kusinyaa kama mnara wa simu!
hawa ndio aina ya walimu ninaowaongelea,hujui hata kutete wala kujenga hoja juu ya kinachofanyika kama unakubaliana nacho,wewe kwa akili yako unaweza kunishawishi kuwa ni sahihi walimu kuajiliwa bila interview?
 
Ualimu ni wito jamani Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
kwenye ndio huwa hakuna interview ?kama wito basi sawa lakini kuna haja ya kuliangalia upya
 
Acheni shobo wabongo mmekalia majungu tu,nenden mkafundishe nyie,mtavishwa kanga
 
Huyu mtoa post ni MSENGENYAJI. Hivi waalimu si wanatahiniwa zaidi ya mara 4 au 6? Halafu huyu atakuwa ni mwangafunzi tena backbencher. Anatumia kalio kufikiria na bongo hazimtoshi.
hawa ndio aina ya walimu waliopita kwa upenyo usiotumia interview,
HAPA SIONGELEI UTAHINI BALI NAONGELEA USAILI,kama hawa ndio walimu kwa nini mada hii isipate nguvu,ama hujui tofauti ya UTAHINI na USAILI?
 
Huyu mleta uzi hana tofauti na samaki anayeitwa KAMBA KOCHI.sifa kubwa ya huyu samaki ubongo na mavi zipo pamoja kichwani,kwa hiyo hapa ametumia ma....na sio ubongo.#NYAMBAFU .
na wewe ni mwalimu uliyekosa uwezo wa kujenga hoja na kufikiri,unaishia kutukana,JE NI SAHIHI WALIMU KUAJILIWA BILA INTERVIEW?
 
Mkuu hiyo NYAJI ondoa umpe jina la neno linalobaki.Huyu M..se... ana akili fupi kama maisha ya funza.
kushindwa kujenga hoja ni ushahidi tosha kuwa wewe ni moja ya walimu wasio na uwezo kabisa maana defensive mechanism kwako ni matusi.
 
Naunga mkono hoja! unakuta mtu ana BAED kaspecialize mambo ya ACCOUNTING kichwani hamna kitu mimi naona kuwe na interview tu waombe hata watu wa Bachelor of arts in accounting ,waone kama hawajapigwa chini na degree zao za EDUCATION

Kweli kabisa
 
hajui chochote kuhusu ualimu! hivi anajua maana ya "assesment"? huyu
assesment haina kabisa uhusiano na interview unapoajiliwa,hiyo ni sehemu ya kupata elimu ukiwa shule na hakuna anaefeli assesment,alafu assesment inafanyika kwenye field ambapo hata kozi zingine zote wanafanyiwa na bado wakienda kuajiliwa lazima wafanyiwe usaili ila walimu hawafanyiwi
 
Si kila mtu mwenye cheti/diploma/degree ya education ni Mwalimu competent! Na ukweli huu una-apply kwa taaluma zote (including medicine, finance, engineering, you-name-it).
Mtu anaweza akajua kitu lakini akashindwa kumuelimisha mwenzie. Mleta maada yu sahihi pamoja na matusi yote aliyomwagiwa. And am a trained teacher!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…