Walimu wengi hawana vigezo na hawana uwezo wa kufundisha

hakuna batamaji anaetumia jamiiforum,inaelekea hukusoma hata biology,sina sifa za kuwa batamaji,a beefwitted teacher has this poor way of arguing

unafkria kwa kutumia kalio la kushoto mdogo wangu! poleee!
 
Hata walimu wana kipindi cha kuangaliwa aka probation Kwa mwaka 1 ukikidhi vigezo unathibitishwa kuwa mwalimu . Nachelea kusema hayo hayafuatiliwi sana mipango ni mizuri sana ila utekelezaji ni tatizo. Sekta nyingi Za serikali zinaendeshwa Kwa namna inayotishia wa taifa hili.
 
hapa ni sawa,no one is responsible,na sidhani kama yupo hata mmoja aliyeshindwa kupenya hiyo probation period,lakini wasiostahili kabisa wamo kibao
 
Umekosa umaarufu MMU sasa umeamua kuutafuta jukwaa hili! Umebugi !!!
sijawahi kutafuta umaarufu sehemu yoyote,hayo ni mawazo yako,niko huku toka zamani sana wala sijaja saizi. huko MMU hukuniita,nilikuja kwa mapenzi yangu na bado napafurahia japo siweki mada na nitaweka mada muda wowote nikiona inafaa,huwezi kunipangia niwe wapi kwa sababu zako
Huo ndio mwisho wako wa kufikiri eeeh ?!!
inawezekana ndio mwanzo wangu wa kufikiri ama mwisho wangu wa kufikiri,lakini huwezi hata kujaribu kulinganisha na mimi IQ yako hata kidogo in any aspects,and i can prove you this here on kama utabisha,uniwekee vigezo vyovyote unavyohisi vinaweza kutoa ulinganifu wa IQ yangu na yako kama hujakimbia hapa. kisa mwalimu unakuja hapa kubwatuka,wewe ndio wale wasio na uwezo waliofaulu kwa kuungaunga na ninaamini huna uwezo wa kufundisha maana unaonekana kutaka kukwepa interview kama ikiwa ikiamuliwa
Wacha nikupe polee!!
wala sihitaji pole yako.
Infact mada yako HAINA MASHIKO peleka kwenye vijiwe vya kahawa!!
kama haina mashiko si ungejenga hoja kuonyesha udhaifu wa mada yangu kama ningeshindwa kuitetea
Humpati mtu hapa!!
wala sikuhitaji na wala sijawahi kukuhitaji,na sijawahi kumhitaji msichana yeyote humu ndani na nilishasema toka MMU,ukiwa na akili sawasawa huwezi kuja kutaka mtu wa mtandaooni.
 
MSHINGA UPO SAHIHI.
nasema hivyo kwa kuwa mm mwenyewe ni mw. x nipo dom shle ya sec x na kuna mw.x wa kisw & hist. hawezi kabisa kufndsha na wanfnz hamtki. hyo mw. ni graduate lkn ndo hvyo na s huyo tu yupo na wa kiingereza nae ni shda.
Kwahyo nilichomueelewa mshinga anasemea waalim baadh wasio na uwezo. na siyo kwamba ualim ni rais. tusmtukane tufanye utaft tutajua ukwel.
Polen saana walim wenzangu kwa vmbi la chaki na mshahara mdogo usio kuwa na posho hata cnti moja. ukiachilia mbali hongo ya chai kwa baadh ya shule. nihayo tu kwa leo
 
unajina zuri profile nzuri bt ww punga wazo gani umetoa
 
unajina zuri profile nzuri bt ww punga wazo gani umetoa
huwa nipo hapa kujadili hoja,uniite punga ama vyovyote,lakini umeshindwa kujadili mada argumentatively ili nikujibu kwa hoja.
 
hoja hujeengwa kwa hoja, kejeli kwa kejeli n.k, hujatoa hoja hapo ndo maana nikakuita punga
 
hoja hujeengwa kwa hoja, kejeli kwa kejeli n.k, hujatoa hoja hapo ndo maana nikakuita punga
niliyoyaeleza si kejeli,nimeeleza ukweli na nimekutana na walimu wengi wa aina hii,ulitaka niandike nini ili uone ni hoja?this a problem to argue with a tabularasa. si ungeainisha kiaje sina hoja,ukipitia michango ya walimu wengi hapa utagundua wana uwezo mdogo sana ukiwemo wewe
 

Mshinga taratibu baba, walimu wangekuwa na uwezo mdogo wasingezalisha watu wenye uwezo mkubwa kama wewe! Hebu punguza kejeli.
 
Tuje kwa mtoa mada yeye anaprofesional gani? je yuko competent?
 
baada ya kukutana na walimu wengi wasioweza kabisa kufundisha na hawaeleweki darasani,mwisho nimebaini wengi wao hawastahili hata kuajiliwa,mfumo wa kuwaajili bila interview kama matakwa ya ajira nyingi ndio upenyo wa mamia wasiofaa kuajiliwa ualimu

Halafu hao walimu wako bora kawaambie sio 'kuajiliwa' ni kuajiriwa.
 
Watakuwa wanasomea kutukana watu na lugha chafu....
 
unajua maana ya tabularasa au unaandika tu? huezi zalilisha proffessional ya watu kwa hisia zako alafu tukakuacha utazoea siku ingine utaleta maada ingine ya kipunga kama hii. jifunze kutoa maada so kuandika tuu na kupost.
soma kidogo maana halisi ya mwalimu
A teacher (also called a schoolteacher) is a person who provides education for pupils (children) and students (adults). The role of teacher is often formal and ongoing, carried out at a school or other place of formal education. In many countries, a person who wishes to become a teacher must first obtain specified professional qualifications or credentials from a university or college.
angalizo ualimu ni proffessional sio kukurupuka na kutuletea ndoto zako hapa. mbona wagonjwa hospital wanakufa kwa umbulula wako utaandika madocta hawajui kazi kozi una mawazo mgando sana wewe.
 
kiukweli kuna baadhi ya walimu hawako competent, nikiwa primary kuna mwalimu wa hesabu alinifundisha eti 3[SUP]2[/SUP]= 3x2 , nikaja kuujua ukweli nikiwa secondary. Mfano ili uwe competent math teacher kuna vitu muhimu katika math lazima ujue kulingana na level unayofundisha. Unawezakuta mwalimu wa hesabu (hasa primary) hajui hata hasi na chanya, hajui hata
5[SUP]2[/SUP]=?. kwa hiyo usaili ambao utabase katika ujuaji wa mwalimu katika somo husika ni muhimu kuliko assessment ambazo walimu wanafanyiwa kwa sababu zinabase sana kwenye teaching methodology.
 
hii hoja ni ya changamoto, na haina ubaya.
Tatitizo letu wabongo hatupendi kuwa challenged. Hoja iko wazi na ndio ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…