Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hela ya kujengea ulitaka itoke kwa nani?,kwi kwi kwiiiiiiiiiheheheheee! HONGERA CCM kwa kuwajari wanaotupga kampan ya kuiba kura kwenye vituo vya uchaguzi, nasikia ccm wameanza kuwasumbua mpaka wanakijiji wachangie kla kaya 15000, halafu wanafunzi woooooooote shule za kata wanatakiwa kulipa sh 10000, chezea ccm wewe!. nahapa watendaji wa kata na vijiji wametengenezewa mazingira ya kupiga hela maana ndo wanasimamia hilo zoez, hii ndo ccm bwana halafu kwenye kampen zetu za 2015 tutajinadi kuwa tumejenga maabala na lazima mtuchague :A S wink::A S wink::A S wink:
na kura watasaidia kuiba kama kawaida, hadi 2015 watakuta washasahau machungu ya kukatwa hela za maabara.kwi kwi kwiiiiiiiiiheheheheee! HONGERA CCM kwa kuwajari wanaotupga kampan ya kuiba kura kwenye vituo vya uchaguzi, nasikia ccm wameanza kuwasumbua mpaka wanakijiji wachangie kla kaya 15000, halafu wanafunzi woooooooote shule za kata wanatakiwa kulipa sh 10000, chezea ccm wewe!. nahapa watendaji wa kata na vijiji wametengenezewa mazingira ya kupiga hela maana ndo wanasimamia hilo zoez, hii ndo ccm bwana halafu kwenye kampen zetu za 2015 tutajinadi kuwa tumejenga maabala na lazima mtuchague :A S wink::A S wink::A S wink:
Hela ya kujengea ulitaka itoke kwa nani?,
eti jamani huku wilayani kwangu tuemtumiwa sms walimu wote tunakatwa tsh 25 katika mshahara wa mwezi huu kwa ajili ya maabara ktk shule za kata,,,Nahsi ni huku Lindi ktk wilaya moja niliko mie,,,vipi nyie huko mliko na nyie mnakatwa ???
Halafu ukisikia kiongozi katoa ahad anaenda kuchukua hela ofisi ya serikali ndiyo anachangia ww unatoa kwenye mshahara wako na unakata
Loan board
NMB
Baiport
Saccos
Huu ni uonevu!! kwanini wasichangishwe Raisi, na mawaziri ambao wana mishahara mikubwaa!? kukamua watu wadogo kila siku ni tabia ya shetani hii!!