Maneno tu hayo.mjini watapangiwa tu.siku zote wanakuja na sera hiyohiyo bado tunajazana mjini kushangaa magari we acha tuu...
Hata kama ni shimoni pouwah tu ili mradi noti iingie mfukoni,ila hyo sera tu mjini lazima watu watinge tu umesahau hii serikali ya tz!
jaman acheni kelele bana, tulikuwa tuanalilia ajira sasa zinataka kutoka tunaibua mada mpya jmn jmn jmn
lipa fedha sh 500000 nikupange mjini selous au namanyere