Walimu wote kupangiwa vijijini

Walimu wote kupangiwa vijijini

G 4real

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
454
Reaction score
212
Ofisi ya waziri mkuu imesema walimu wote watakaoajiriwa mwezi huu watapangiwa maeneo ya vijijini,kwani halmashairi zote za majiji na miji zimejitosheleza kwa walimu wote wa arts na sayansi.

Chanzo: habari Itv.
 
Maneno tu hayo.mjini watapangiwa tu.siku zote wanakuja na sera hiyohiyo bado tunajazana mjini kushangaa magari we acha tuu...
 
Wakaeneze uzalendo sababu nchi hii imekua mbovu sana...#Act #Ccm#Chadema#Nccr mageuzi# CUF,naamini walimu wengi ni wafuasi wa vyama hivyo.
 
kokote tuts kwendaaa ilimladii mambo yakae poaa ajira tupeweeeee
 
Hata kama ni shimoni pouwah tu ili mradi noti iingie mfukoni,ila hyo sera tu mjini lazima watu watinge tu umesahau hii serikali ya tz!
 
Uwa kila mwaka. Wanasema ivo ivo, ngoja mtaona hadi kinondoni watapanga tu
 
Ya kawaida tu hayo kila mwaka yanasemwa hayo hayo na bado walimu kibao wanapangiwa mijin......
Labda isiwe nchi hii lakin kama tz hayo ni maneno tu.
 
jaman acheni kelele bana, tulikuwa tuanalilia ajira sasa zinataka kutoka tunaibua mada mpya jmn jmn jmn
 
kuna watu watasaga meno hasa wakipangwa kanda ya ziwa, vijiji kama Malampaka, Kibakwe, Shume, Uzogore, Gombolwa yaani kama wewe ni wa mjini mjini, utasaga meno.
 
Maeneo ya mkalamwa, kihodombi, ndorwe, kambi ya simba, mfimbaliosi, fukayosi, Matipwili,
 
Sisi walimu wa masomo ya biashara Sijui tutapata hizo nafasi vijijini? maana nasikia shule za masomo ya biashara vijijini ni chache sana!
 
Back
Top Bottom