shalet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 3,430
- 3,547
- Thread starter
- #41
Dah how come tena inakuwa assumption wakati unasema yapo? Unaelewa unachoandika au umeshindwa kujibu ulichoulizwa?
hoja yangu ni kuwa walimu 10k+ watakosa ajira mwaka huu assumption zako ni kuwa graduate wamepungua mwaka huu kutokana na vifo, kufeli, kwende profeshen nyingine ninachosema upo wrong kwakuwa hizo assumption sio exclusive kwa mwaka huu tu hata miaka ya nyuma hayo yalikuwa tokea na tulikuwa na graduate wa ualimu 36000 kitu ninachoamini na sasa wapo hivyohivyo au idadi imeongezeka kama ilivyo kwa profesheni.